Kiranga,
pamoja na hayo, Nadhani baadhi yetu tunasahau kuwa uhuru ni pamoja na kuweza kupanga, kuchagua na kuyasimamia mambo unayoyaamini. Ikiwa hivyo, Kenya imeridhia ICC, na effectiveness yake ndiyo hii. Nchi nyingi zinalalamika kuwa ICC "inawatarget viongozi wa Afrika," na nadhani wangepata nafasi wangeibomoa, iwe blunt na inefective kama zilivyo mahakama zetu nyingi barani.
Hii haitofautiani sana na Zuma alipoibomoa The Scorpions, kwa sababu hizo hizo kuwa inamtarget yeye na kuwa politically biased. Tuamini katika chombo gani basi ili tukisimamie? AU imeanzisha mahakama yake pale Arusha, subiri uone aina ya kesi zitakazokwenda pale...
This is completely out of scope as far as my remarks are concerned.
My main point ni kwamba FM wa Botswana kachemka kwa kujiingiza kwenye speculations za hypotheticals.
Uhuru awe na makosa au asiwe na makosa, FM kachemka.
ICC iwe inawatarget waafrika fairly au unfairly, FM kachemka.
Afrika iamini ICC au isiamini, FM kachemka.
Uhuru akubali ku cooperate na ICC au asikubali, FM kachemka.
Bora hata angesema "Uhuru Kenyatta asikanyage Botswana kwa sababu hatumtambui na as far as we are concerned he is a criminal" angekuwa haongelei speculations na hypotheticals, angetoa msimamo wa nchi kutokana na kitu ambacho tayari kipo, the understanding that Uhuru is a criminal by Botswana's books.
Sasa yeye kajiingiza katika habari za "ikiwa" "endapo" "itakapotokea" hivi, tutafanya hivi.
Isipotokea je?
Tushaona ICC imeitupa kesi ya Muthaura juzi kwa kukosa ushahidi.Mashahidi wamekufa wote na wengine wanaogopa. Sasa huyo Muthaura tu, dagaa, papa lenyewe Uhuru wataliweza? Mi naona it is a matter of time before they drop Uhuru's case.Ku drop Muthaura's case is just preparing us and lowering expectations tusishangae sana watakapo drop case ya Uhuru.
Wamarekani wanataka uhusiano mzuri na yeyote atakayekuwa rais wa Kenya ili kufanya biashara zao Kenya na ku monitor Somalia/ terrorism. Wenyewe hawataki Uhuru awe pariah kwa sababu one way or another watatakiwa ku deal naye, in fact Wamarekani wanamuhitaji Uhuru kuliko Uhuru anavyowahitaji.
Unaona FM alivyojichomeka katika ma geopolitics bila kufikiri?
Foreign policy is a game of cards.Kuongelea hypotheticals ni kuonyesha cards zako kabla wakati wako wa kucheza haujafika.
Angeacha ICC imhukumu Uhuru, then based on hukumu hiyo, Botswana inaweza kusema Uhuru akikanyaga Botswana atakamatwa.
Sasa hivi Uhuru kesi yake ikitupwa je? Si washaharibu uwezekano wa kuwa na uhusiano mzuri bila sababu muhimu.
Naelewa doa alilo nalo Uhuru. Lakini hii move ni rookie mistake.
Almost like the Tswanas are too eager to appear that they are for justice to the extent that they are speculating to the realm of presuming someone to be "guilty until proven innocent".
Again, prudent foreign policy wonks would frown upon speculations.