SKENDO: Ndindindi kumbe ni wimbo wa mtu!

SKENDO: Ndindindi kumbe ni wimbo wa mtu!

Status
Not open for further replies.

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,606
Reaction score
4,914
Watu wapekuzi sana...kumbe wimbo wa lady jay Dee ndindi ni wimbo wa watu....https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1200573386629315&id=100000299950223

==========UKWELI=========

upload_2016-5-18_9-42-27.png
 
Kamata mwisi meeene..! Huyu mdada mbona sasa kafanya hivi tena jamani..
 
Tafuta kwenye YouTube mahojiano ya lady jaydee kuhusu wimbo watu alioshilikiana nao kutunga huo wimbo nazani huyo msanii mganda ni mmojawapo.
 
Kamata mwisi meeene..! Huyu mdada mbona sasa kafanya hivi tena jamani..
Mkuu! Sidhani kama ni kweli maana hio picha Jide mwenyewe aliiweka kwenye mojawapo ya matangazo yake Instagram, more like cover za huo wimbo. Sasa nahisi kuna anaetafuta kumharibia tu. Typical kibongo bongo 😡😡
 
Kama ni kweli si wake basi huenda wanamakubaliano na huyo mtu, ila kama ni figisu figisu basi ni sawa tu kwake. Kwasababu haiwezekani ukapenda fujo halafu wewe usifanyiwe fujo kwani yeye ni nani .....
 
Kakopi kabisa Kama ilivyo yaani kagandamizi juu ya karatasi kabisa halafu kaiharibu vibaya vibaya. Afungwe Tu!
 
Mkuu hakuna team ya mtu hapa ukweli mchungu ma bro
 
wimbo n wa jay dee ila huyo dada kaurudia kuonyesha kaupenda kuna kitu kinaitwa cover kwny mziki ambapo hata ww unaweza kurudia wimbo wa ndi ndi ndi ukaweka kwa tune hata ya regge


Dah!! Afadhali..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom