Mkuu! Sidhani kama ni kweli maana hio picha Jide mwenyewe aliiweka kwenye mojawapo ya matangazo yake Instagram, more like cover za huo wimbo. Sasa nahisi kuna anaetafuta kumharibia tu. Typical kibongo bongo 😡😡Kamata mwisi meeene..! Huyu mdada mbona sasa kafanya hivi tena jamani..
wimbo wa jaydee huyo.dada kaurudia so iyo n cover ya ndi ndiWatu wapekuzi sana...kumbe wimbo wa lady jay Dee ndindi ni wimbo wa watu....https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1200573386629315&id=100000299950223
Kakopi kabisa Kama ilivyo yaani kagandamizi juu ya karatasi kabisa halafu kaiharibu vibaya vibaya. Afungwe Tu!
ww huyu dada kaurudia wimbo wa ndi ndi kaupenda kafanya cover km amabavyo walter alivyorudia bado wa raymond au wimbo wa adele hellow umeimbwa na watu wengiMkuu hakuna team ya mtu hapa ukweli mchungu ma bro
wimbo n wa jay dee ila huyo dada kaurudia kuonyesha kaupenda kuna kitu kinaitwa cover kwny mziki ambapo hata ww unaweza kurudia wimbo wa ndi ndi ndi ukaweka kwa tune hata ya reggeJaydee kakosea sana kama ni kweli
wimbo n wa jay dee ila huyo dada kaurudia kuonyesha kaupenda kuna kitu kinaitwa cover kwny mziki ambapo hata ww unaweza kurudia wimbo wa ndi ndi ndi ukaweka kwa tune hata ya regge
Yes.We ulijua wa paka?