SKENDO: Ndindindi kumbe ni wimbo wa mtu!

Status
Not open for further replies.
Team CD bwana wanatafuta namna ya kumzima jide ila ndo wamechelewa balaa.
 
Kwa jinsi jaydee alivyoufanyia promo sidhani kama sio wake
 
Muandika post na wote walioshabikia post hii huenda ni watoto wa miaka ya 2000.....Kwa anayemjua jide akisoma tu heading atajua ni upuuzi...Jide is too intelligent and talented...She cant do that
 
Kumekuwa na video inasambaa kwenye whatsapp groups inaonesha wimbo ndi ndi ndi ukiimbwa na dada mmoja hivi simjui jina. Je ni kweli JD ameiga huu wimbo kwa huyu dada au huyu dada ndio kaiga huu wimbo kwa JD?

Mwenye video yake atusaidie kuuweka, mimi Techno yangu imeshindwa ku upload hio video.
 
Asee!! Jide mwenyewe kasema ndi ndi in a versions nyingi iko ya Uganda, Zambia, Kenya etc zote chini ya project yake tembelea fb na instagram page yake kuna versions zote hizo
 
Oh ok, kwahio yeye ndio ametoa rights kwa wengine kuimba au yeye amemuomba mwenye rights za huo wimbo?
 
Basi watu wanapotosha kusema kaiba huo wimbo.
 
Oh ok, kwahio yeye ndio ametoa rights kwa wengine kuimba au yeye amemuomba mwenye rights za huo wimbo?

Ndio ametoa rights ndo mana una versions nyingi hata Ramadee ana version yake
 
Kuna version ya Wangechi toka Kenya, Lady May from Namibia, Naava Gray toka Ug
 
Oh ok, kwahio yeye ndio ametoa rights kwa wengine kuimba au yeye amemuomba mwenye rights za huo wimbo?
Wimbo ni wake wale wengine wanafanyia cover tu kama ule wimbo wa Adele wengi wameimba tofauti tofauti
 
Oh ok, kwahio yeye ndio ametoa rights kwa wengine kuimba au yeye amemuomba mwenye rights za huo wimbo?
Ndio ziko nyingi na huwa anazipost hata instagram...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…