Skendo: Video ya ngono ya kiungo wa Tottenham Hotspur na Uingereza, Dele Alli yavuja mtandaoni

Kabisa mkuu nasikia ni mtoto wa mtaani itakua ndo sababu hana heshima na wakubwa zake
Ndo ttz af ukizingatia Bado mdogo
Sasa yy anaona sifa hawez kuona
Kina evra,balotel,adebayo walivopotea
Kwa sababu ya kuendeleza ujinga tu wa kujitakia
 
Kibur na jeur yake itampoteza
kwenye mpira kama balotel
Unamjua Gaucho wewe fundi wa mpira ambaye hajawahi kutokea. Kuna video yake ilivuja akipiga punyeto na wala haikuathiri kiwango chake uwanjani mpaka leo tunamuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…