Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

Skimming ya nyumba nitumie Wall Putty au White Cement?

muku

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
312
Reaction score
77
Habari wana JF,

Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?

Asanteni.
 
Wanasemaga white cement ni nzuri kama nyumba yako imejengwa eneo lenye unyevunyevu, niliwasikia mafundi wakisema hivyo.
Ngoja wataalamu waje kukupa muongozo.
 
Wanasemaga white cement ni nzuri kama nyumba yako imejengwa eneo lenye unyevunyevu, niliwasikia mafundi wakisema hivyo.
Ngoja wataalamu waje kukupa muongozo.

Yes white cement ni best kuliko wallputy mafundi wengi hutoa maoni hayo
 
Tumia white cement japo itakugharimu kwenye cost lakin ndo suluhisho la kudumu kwenye nyumba yako Kama unataka vitu bora karibu tukufanyie kaz kwa bei nafuu call or WhatsApp 0757735884 au tembelea Instagram page yetu Kama highland_decor_solution sisi ndo wataalamu wa nyumba na finishing zake za kisasa karibun sana
 
Wall puty inatuokolea gharama maana inatumia maji kuchanganyia coat zote mbili lakin ubora durability ni mdogo ,white cement ni gharama maana inahitaj rangi ya kuchanganyia yani emulsion skiming undercoat hivyo huongeza gharama lakin kwenye ubora ni 100% than wallputy uchaguz ni wako
Habari wana JF,

Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?

Asanteni.
 
Wall puty inatuokolea gharama maana inatumia maji kuchanganyia coat zote mbili lakin ubora durability ni mdogo ,white cement ni gharama maana inahitaj rangi ya kuchanganyia yani emulsion skiming undercoat hivyo huongeza gharama lakin kwenye ubora ni 100% than wallputy uchaguz ni wako

Asante sana kwa maelezo yako mtaalam.
 
Habari wana JF,

Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?

Asanteni.

Vyote vinafaa ni kulingana na mahitaji ya kuta za nyumba yako
[emoji3513] +255 714 122 011
 
Habari wana JF,

Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?

Asanteni.
Mkuu Wall Puty ndio White cement.

Yaani kuwa Wallputy ni bussness brand inayotengeneza White cement ambayo wao wameiita jina la pekee WallPuty
images.jpeg
 
Tumia white cement nje na wall puty ndani! Kama mfuko aupo vizri tumia tu wally puty haina shida pia!
 
Kwa kuzingatia maeneo yenye fangasi/magadi njia bora ni ipi?

Nasikia wengine wanasema sijui pvr,machanyiko wa cement, maji na hizo dawa. Kitu inakuwa kama gundi.

Tupeni utaalam wajuvi.
 
Back
Top Bottom