Wanasemaga white cement ni nzuri kama nyumba yako imejengwa eneo lenye unyevunyevu, niliwasikia mafundi wakisema hivyo.
Ngoja wataalamu waje kukupa muongozo.
Habari wana JF,
Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?
Asanteni.
Wall puty inatuokolea gharama maana inatumia maji kuchanganyia coat zote mbili lakin ubora durability ni mdogo ,white cement ni gharama maana inahitaj rangi ya kuchanganyia yani emulsion skiming undercoat hivyo huongeza gharama lakin kwenye ubora ni 100% than wallputy uchaguz ni wako
Asante sana kwa maelezo yako mtaalam.
Habari wana JF,
Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?
Asanteni.
Mkuu Wall Puty ndio White cement.Habari wana JF,
Hivi katika kuskim, skimming ipi inakuwa na ubora, ya kutumia wall putty au ya kutumia white cement?
Asanteni.