Skin fungus (mmba) msaada

Skin fungus (mmba) msaada

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,630
Reaction score
1,945
Wakuu naomba msaada. Ni nini dawa ya kutibu mmba ?

vile vialama vinavyobadilisha rangi ya ngozi kama mweusi vinakuwa vyeupe na kama mweupe vinakuwa vyeupe zaidi na haviwashi.

Vinatokeza kifuani ,shingoni, usoni n.k
 
Mfamaji upo Dar?

Basi nenda Regency Hosp ulizia Specialist wa ngozi atakupa dawa flani itakusaidia sana. Walio Dar wengi wanakumbana na tatizo hili, nadhani linatokana na maji chumvi (sina uhakika).
 
Mfamaji upo Dar?

Basi nenda Regency Hosp ulizia Specialist wa ngozi atakupa dawa flani itakusaidia sana. Walio Dar wengi wanakumbana na tatizo hili, nadhani linatokana na maji chumvi (sina uhakika).

Ahsante ila kwa sasa siko Dar. Nitarudi baada ya muda kidogo. Naomba contact if possible kwa PM please. Anaweza kuprescribe nikanunua
 
Back
Top Bottom