Ngondonyoni
Senior Member
- Feb 16, 2016
- 120
- 74
Zitakapofika wiki hii nitapiga picha lakini ni sawa na hiziboss Ungeweka na picha maelezo tu hayajitoshelezi
Jamii Forums ina wanachama wengi ambao wanaingia humu kama wageni ukilinganisha na sisi wenye ID's.BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.
Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.
Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu!
Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.
Hatuuzi rejareja kwa sasa
Kwa Maelezo zaidi DM!
Asante sana kwa wazo nzuri. Ila nimeamua nisiweke, kwa sababu maalum ya kimarketing. Serious people will DM, direct message, or PM personal Message. E-commerce in a mikakati mingi.Jamii Forums ina wanachama wengi ambao wanaingia humu kama wageni ukilinganisha na sisi wenye ID's.
Sasa huoni unajinyima mwenyewe fursa kwa kutaka wateja wakufuate (DM sijui ndiyo pm!!) Badala ya kuweka mawasiliano yako ya simu!!