Skolaship za nje

Skolaship za nje

muuza ugoro

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
334
Reaction score
61
Wadau,
Kama mtu anataka soma nje ya nchi, say wingereza na anahitaji scholaship, ni cha kufanya? Aanzie wapi?
 
Wadau,
Kama mtu anataka soma nje ya nchi, say wingereza na anahitaji scholaship, ni cha kufanya? Aanzie wapi?

Kwanza ajue kuandika kwa kutumia lugha moja sahihi kama ni Kiswahili au Kiingereza au kama anachanganya basi iwe inaeleweka na isimpe tabu msomaji.
Pili ajue kwenye lugha ya Kiingereza au Kiswahili hamna maneno kama skolaship,scholaship,wingereza,etc
 
Back
Top Bottom