Kwanza ajue kuandika kwa kutumia lugha moja sahihi kama ni Kiswahili au Kiingereza au kama anachanganya basi iwe inaeleweka na isimpe tabu msomaji.
Pili ajue kwenye lugha ya Kiingereza au Kiswahili hamna maneno kama skolaship,scholaship,wingereza,etc