Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Aug 3, 2013 #241 Kongosho said: Ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea. Unahisi na yeye ni kilaza. Click to expand... Mi nikitizama hiki kipindi, nakumbuka matokeo ya 2012 na kukubali baraza la mitihani la taifa halina makosa yoyote. Yale matokeo yalikuwa sahihi!
Kongosho said: Ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea. Unahisi na yeye ni kilaza. Click to expand... Mi nikitizama hiki kipindi, nakumbuka matokeo ya 2012 na kukubali baraza la mitihani la taifa halina makosa yoyote. Yale matokeo yalikuwa sahihi!
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Aug 3, 2013 Thread starter #242 Asprin said: Mi nikitizama hiki kipindi, nakumbuka matokeo ya 2012 na kukubali baraza la mitihani la taifa halina makosa yoyote. Yale matokeo yalikuwa sahihi! Click to expand... Hivi mkuu kazi ya lile baraza ni zipi hadi likwepe lawama?
Asprin said: Mi nikitizama hiki kipindi, nakumbuka matokeo ya 2012 na kukubali baraza la mitihani la taifa halina makosa yoyote. Yale matokeo yalikuwa sahihi! Click to expand... Hivi mkuu kazi ya lile baraza ni zipi hadi likwepe lawama?
Asprin JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,223 Reaction score 96,083 Aug 5, 2013 #243 Raia Fulani said: Hivi mkuu kazi ya lile baraza ni zipi hadi likwepe lawama? Click to expand... Kama maswali marahisi anayouliza jamaa vijana wanashindwa kuyajibu, sijaona ni kwanini nisikubaliane na matokeo ya mwaka jana.
Raia Fulani said: Hivi mkuu kazi ya lile baraza ni zipi hadi likwepe lawama? Click to expand... Kama maswali marahisi anayouliza jamaa vijana wanashindwa kuyajibu, sijaona ni kwanini nisikubaliane na matokeo ya mwaka jana.