SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi


Naona sasa tutakuwa kama watoto, na kama unavyojionyesha humu una rika sawa na mama yangu!

Ulianza hivi
By FaizaFoxy
Hao wamefundishwa na Waalim waliotokea tawala zilizopita, au hujuwi hilo? Unanchekesha.

Sasa tazama waalimu wanaokuja kutolewa na utawala huu halafu uwaone wanafunzi wao miaka si mingi ijayo.

Mpaka hapa unazungumzia wanafunzi wabovu waliotokana na "tawala zilizopita", na kwamba baada ya muda tutapata wanafunzi mahiri wanaotokana na utawala huu tulionao. Nami nikakujibu hivi:

Imebidi nicheke. Unazungumzia hawa Walimu wa toleo la kipindi hiki!! Nina bahati ya kuishi nao ama kukutana nao..Ni msiba! Tena ukiongezea na ugumu wa maisha "product" zitakazotoka baada ya miaka 5 ni balaa mara mbili ya hili tulilonalo.

Ghafla ukarukia kwa Mwalimu Nyerere (si tawala zilizopita tena, ni utawala uliopita!)

Mazao ya kuporomoka kwa elimu chanzo chake ni Nyerere na vibaraka wake, nani alifuta masomo ya History na Geography mashuleni? na nani kayarudisha?

Nikakujibu tena hapa chini;


Pamoja na kuchanganya "hoja" na chuki lakini bado tulikuwa tunaangalia uwezo mdogo wa wanafunzi na elimu wanayoipata, ghafla umerukia kwenye wingi (ubora unaokuja umeuruka). Kwani hawa watoto tunaowona wakichemka hawakufaulu walikotoka? (kama kweli kuna kufaulu kwa maana yake halisi). Ndiyo nakuuliza hiyo "best results" (kwa maana ya quality) unayosema inakuja, itakuja kwa misingi ipi?

Nakukumbusha: Hata kama watoto wote watapata elimu ya sekondari kama kichwani hamna kitu ni bure kabisa, afadhali hizo resources wangenunulia pembejeo za Kilimo angalau tuondokane na aibu ya njaa!
 
sijui FaizaFoxy kalishwa limbwata la aina gani na uongozi huu. Dada hasikii haambiwi. Hajui kuwa voda fasta ni zao la awamu hii ya nne? Hajui kuwa katika awamu hii waliofeli ndio wengi kuliko waliofaulu?
nahisi atakuwa mulugo anatumia hiyo id
mtu mwenye timamu hawezi kuongea hizo non sence
 
Last edited by a moderator:
kuna watu reasoning capacity yao ikoje this issue is critical mtu anashabikia kiongozi mkuu wa nchi hajui why we are poor then mtu anamshabikia this is stupidity kwanini zamani mtu mwenye elimu ya darasa la nne aliweza kuandika vizuri aliweza kusoma vizuri na aliongea kiingereza kwa ufasaha lakini leo watu wanamaliza shule hawajui kusoma tunafika secondary watu zero afu visingizio vya kipuuzi eti hawajui kingereza mbona wazamani waliweza then mtu anashabikia upuuzi inakera sana people are so stupid
 
nahisi atakuwa mulugo anatumia hiyo id
mtu mwenye timamu hawezi kuongea hizo non sence
Faizafoxy anaelewa anachokifanya, don't underestimate her. It is better you don't get in 'word's fight' with her because she always makes herself a winner. I know you don't have such guts.
 
Kuondoka madarakani, tumpe nani aongoze? Slaa? au DJ? - Wewe kweli umeichoka hii nchi.

Yani bora hao uliotaja hapo maana wanaonekana kuwa na uchungu na elimu na vijana wa nchi hii. Hebu tuwape hii fursa tuone matunda yake.
 
Nakumbuka kisa kimoja mzee mmoja wa kimasai alipelekwa mahakamani kisa kamwoza binti yake aliyemaliza darasa la saba na 'kufaulu' kwenda sekondari. Sasa wakati wa kesi mzee akasema 'huyu binti yangu namjua mimi. Nawashangaa hao waliosema kafaulu. Kama mnataka kuamini nisemacho mpeni kalamu na karatasi aandike jina langu'
Binti akapewa na kuambiwa aandike. Ilikuwa ni shughuli. Wala mtoto hakuweza kuandika jina la baba yake lakini alifaulu. Ndio kizazi hiki ambacho Faiza anakitetea. Kizazi ambacho kinasamehewa mitihani ya mock
 
Vipindi vya burudani na miziki kwenye TV za Taifa ziwe baada ya saa tatu usiku. Masaa yaliyobaki viwe vipindi vya shule na dokyumentari zinazofundisha.
Dah!Kama nyota ya jaah maana nisiku nyingi sana na zaidi najua uko poa nakutakia kila raheri japo napenda nikume spesho missing!
 
Nieleze ni Government Primary school ipi hii kesho nachukuwa kadi ya CCM na kuanza kuwa mpiga debe wa Kikwete kwa maendeleo haya makubwa.




Shule ya Msingi Katanini.
 

Naona bado una matatizo makubwa sana ya ufahamu, si hasha leo hii Tanzania bado tupo hapa tulipo, sabau kubwa ni watu kama wewe, una mcho lakini hauna muono.

Hivi, elimu ya leo Tanzania unataka kufananisha na kipindi kipi? ni lini Tanzania iliweza kuwa na Vyuo vikuu zaidi ya 45 kwa miaka 7? Ni lini Tanzania imetoa madaktari wengi zaidi kwenye vyuo vya ndani zaidi ya kipindi hiki cha Kikwete? Ni lini Tanzania watoto wengi zaidi (asilimia 500 zaidi ya awamu iliyopita) wenye fursa ya kusoma sekondari?

Ni lini Tanzania ina vyuo vya kufundisha waalimu kwa wingi zaidi ya wakati huu wa Kikwete?

Narudia, una macho lakini hauna muono.
 
Dah!Kama nyota ya jaah maana nisiku nyingi sana na zaidi najua uko poa nakutakia kila raheri japo napenda nikume spesho missing!

Ahsante sana, nafurahi kukuona tena, ulipotea.
 
Yani bora hao uliotaja hapo maana wanaonekana kuwa na uchungu na elimu na vijana wa nchi hii. Hebu tuwape hii fursa tuone matunda yake.

Uchungu upi wataokuwa nao zaidi ya Kikwete aliyeweza kuvunja rekodi kwa wakati wake katika nyanja ya elimu? in this matter, nyanja zote.
 
Naona umekushuka, ulitaka shule ya primary ya Serikali nimekuwekea. Nini zaidi? unalo? umeshushuka shuu! cheza na FaizaFoxy wewe? hapa ni wrong number.
Ni kweli wewe wrong number for sure maana hujui ulisemalo, wala hujui hata nimekuuliza nini na unajibu nini, nawaachia wenye akili timamu watakaoanza post ya kwanza mpaka ya mwisho ndio wataelewa unavyosumbuliwa na Mental disorder.
 
Ni kweli wewe wrong number for sure maana hujui ulisemalo, wala hujui hata nimekuuliza nini na unajibu nini, nawaachia wenye akili timamu watakaoanza post ya kwanza mpaka ya mwisho ndio wataelewa unavyosumbuliwa na Mental disorder.

Kama una matizo ya kuwa na kumbukumbu fupi, jikumbushe hapa:

Uliandika hivi:

By Matola


Nieleze ni Government Primary school ipi hii kesho nachukuwa kadi ya CCM na kuanza kuwa mpiga debe wa Kikwete kwa maendeleo haya makubwa.

Nikakujibu hivi:
]



Shule ya Msingi Katanini.

Vipi, bado hujielewi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…