Kwa kuwa tayari umefungua account ya skrill, kinachofuata ni ku_LinkNimeshafungua account ya Skrill ila naomba kupata uzoefu ni jinsi gani nitaweza kuamisha pesa toka Skrill kuzileta kwenye account yangu ya bank.
Na je itachukua muda gani kumalizika hiyo transaction nikimaanisha tangu kutumwa kwa pesa hadi kumalizika kwa taratibu za kuamishia pesa kwenye bank account yangu na Mimi kuweza kuitumia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako mkuuKwa kuwa tayari umefungua account ya skrill, kinachofuata ni ku_Link
(a) Card yako ya benki ambayo tayari iko activated kufanya miamala mtandaoni au
(b) Account number ya benk husika - Inatakiwa uwe unafahamu SwiftCode ya hiyo benki unayotumia
View attachment 543772
Baada ya kuwa fedha imeingia, Click withdraw ambapo utakuwa na option mbili za kutoa fedha
View attachment 543776
1. Kutoa kupita account number yako
- Fedha huchukua kati ya siku 2 - 5,
- makato ni USD 6.31 bila kujali kiasi chafedha unachotoa.
2. Iwapo utatoa kupitia Card yako
- Huchukua zaidi ya siku 6
- Makato ni asilimia 7.5 ya kiasi cha fedha utakachotoa
NB:- Njia ya haraka zaidi ni kutumia MPESA KENYA ambapo fedha unaipata within 30seconds kutoka account yako ya skrill kwenda namba ya mpesa kenya.
Kwa bahati mbaya hii huduma ya Skrill vs MPESA TZ, au mtandao mwingine wa simu, haipo kwa sasa.
KARIBU
Halafu utazipataje toka huko mpesa Kenya
Post sent using JamiiForums mobile app
Unaweza kumtumia ndugu/ jamaa / rafiki ambaye ana laini ya kenya.Hiyo no rahisi sana kama upo maeneo ya mpakani
Post sent using JamiiForums mobile app
Unaweza kumtumia ndugu/ jamaa / rafiki ambaye ana laini ya kenya.
Unahamisha fedha toka account yako ya skrill kwenda namba yake.
Naye anahamisha toka namba yake (mpesa kenya) kuja Namba yako ya MPESA Tanzania.