Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hatimaye skrill wameondoa limitations kwenye pesa iliyotoka kwenye mastercard. Kwa sasa utaweza fanya lolote iwe kubet, kununua cryptocurrency kutuma kwa rafik bila shida naye ataweza ifanyia lolote.
Nilikuwa napata shida unakuta unakuta wataka nunua bitcoin local bitcoin ulipe kwa skrill from mastercard wauzaji wote hakuna anayekubali malipo hayo.
Now tunaweza hata bet kwa mrusi kwa mastercard.