Hapa safi sasa ila tuombee tu serikali isije leta mambo yake kama kwenye paypalHatimaye skrill wameondoa limitations kwenye pesa iliyotoka kwenye mastercard. Kwa sasa utaweza fanya lolote iwe kubet, kununua cryptocurrency kutuma kwa rafik bila shida naye ataweza ifanyia lolote.
Nilikuwa napata shida unakuta unakuta wataka nunua bitcoin local bitcoin ulipe kwa skrill from mastercard wauzaji wote hakuna anayekubali malipo hayo.
Now tunaweza hata bet kwa mrusi kwa mastercard.
Dadadeki serikali huwa inajifanya inajua kushindana na internetWakzngua tunapta njia za panya wao wanakosa dollar na sisi tunapata usumbufu
Sijawahi kuelewa kwanini paypal isiruhusiwe halafu waruhusu worldremit, skrill, chipercash
Viko kwenye acc ya paypal au ndo unataka lipwa kwa paypal?
Nipe maelekezo ya kina nitawekaje pesa hukoHatimaye skrill wameondoa limitations kwenye pesa iliyotoka kwenye mastercard. Kwa sasa utaweza fanya lolote iwe kubet, kununua cryptocurrency kutuma kwa rafik bila shida naye ataweza ifanyia lolote.
Nilikuwa napata shida unakuta unakuta wataka nunua bitcoin local bitcoin ulipe kwa skrill from mastercard wauzaji wote hakuna anayekubali malipo hayo.
Now tunaweza hata bet kwa mrusi kwa mastercard.
Nipe link nianzie apo kiongozi na minimum deposit ni kiasi ganiFungua akaunti skrill iverify unha mpesa visa card itumie kulipa na kiwithdraw
Nahisi hata dollar 1 inakubali www.skrill.comNipe link nianzie apo kiongozi na minimum deposit ni kiasi gani