Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Mkuu! We ni mtu wa ball?Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya?
Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake
Ni mtu wa vipochi manyoyaMkuu! We ni mtu wa ball?
Au umekurupuka tu.
Skudu anakipiga vibaya mno hapo kwa Wakongomani...
Timu yake ya AS Vita inamkubali sana.
Fuatilia ball, usizukie tu
Sema ana injury lakiniAnakiwasha as vita.
Yuko Tandale kwa Mtogole anauza ngada.Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya?
Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake