Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo kimsingi kunakuwa na athari katika tamaduni zetu.
Tamaduni ni mfumo mzima wa maisha ni kitu ambacho tunatakiwa kukienzi na kukirithisha kwa kizazi kinachofata lakini kwa imekuwa ni mbaya kwa sisi wazazi walezi kwa kuendelea kuitupa tamaduni,mfano mkubwa mila zetu katika ukuaji zilikuwa zinapingana zaidi kujikinga na vitendo vya ushiriki jinsia moja,ukosefu wa nidhamu,kudumisha usafi,kuheshimu wazazi na walezi lakini kwa dunia ya sasa imekuwa ni changamoto kubwa.
Hali hiyo imetokana na tabia za wazazi/walezi kutozingatia elimu ya ukuwaji kwa vijana kitu ambacho kinasababisha jamii kuingia katika mifumo mipya ambayo yanaathiri/kiuka utu na heshima za kibinadamu.
Huenda kuna mipango mizuri ya hizi skuli kuendeleza elimu kwa vijana lakini kuna athari kubwa ya vijana kuattach/kuinput tabia zisizo rasmi ambazo anazipata kwa makundi rika,hatuna wa kumlaumu zaidi ya sisi wenyewe kwani.K ama mzazi ni lazima wewe ndiye ni mwenye jukumu la kurithisha tabia na malezi kwa mtoto wako lakini imekuwa tofauti wewe unaenda kumpa mtu mwanao akulelee je umeshapima madhara ya kulelewa mtoto?
Changamoto hii ya ukosefu wa maadili imeenda mbali zaidi mpaka kwenye ngazi ya taifa kukosa weledi,nidhamu,utu,misimamo ya kijamii,kitamaduni katika masuala yanatuhusu sisi wananchi.
TUILINDE JAMII KWA KUZIPA KIPAUMBELE TAMADUNI ZETU.