Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
namjua vyema kabisa nilimshauri ila akakaza nikaona sio vyema kubishana nae saaana nikabadilisha nikaedit...si unajua KE walivyo ving'anganizi??Usimulaamu sana kuna Ke moja mpya humu ina avata kama yako, sasa chali zinamchanganya
Mwifwa kala ban asubuhi sijui kafanya niniSawa muosha masufuria cc mwifa
[emoji15] [emoji15]Mwifwa kala ban asubuhi sijui kafanya nini
Mama mkwe itisha Heineken na wewe ! Shikamoo lakiniUh!! Rafiki umeanza visingizio eeh!!
Nitakudai tu ubuyu wangu.
Basi karibu tumsome huyu mpendwa wetu.
Aaahhhhhhh Izo ni maneno za waloshindwa bana.Kuchukiwa ni kawaida ila usikaze sana msuli kumtetea, subiri siku ikifika utafuatilia usahili na kubaini unayoyaona sasa kama kweli au la.
Nimeumia kweli basi tuMwifwa kalambwa ban, sijui tatizo nini
Hizi kauli zinatia mashaka mkuuWelcome Baby
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23] [emoji23] akawahadithie wenzakeNamtatua
Hakuna tatizo lakini ukumbini tutatumia kiswahiliKuna tatizo kwani?
Leo uko makini
Hapana sijaolewa badoSasa mbna unaficha na i.d za kiume?
Umeolewa??
Simtetei ,,wala sijasema namtetea ,,, ila nmejibu kutokana na alokoment .....Kama kweli una busara bora umshauri huyo cocochanel aikatae interview kuliko na kumtetea jambo ambalo yeye anaweza kujitetea
Naona anajaribu kukutisha..Labda anahisi kuna kitu unataka kumuombaBwana weeee, huyu tunajuana. Eti anajiita Mama ubaya sijui Bi Mkora?
Shem[emoji137]Hapana sijaolewa bado
Wee muache[emoji23] [emoji23] akawahadithie wenzake
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App