Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Sisi ni soul mates na msingi imara ninuaminifu. Ukiwa unamwamini mtu hata akikwambia leo nilitoa laki tano kutoka joint account wala hutamuuliza ulizifanyia nini.
Hahaha!
Nini unadhani ni udhaifu wako katika ndoa kama mwanamke!?

Vitu gani ulivyonavyo au ufanyavyo vinaidumisha ndoa!?
Una furaha ya kweli ktk ndoa yako au upo kifungoni?

muosha rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…