Sky Eclat live interview on DJ sepetu show!!

Dùuh...inaelekea Muosha rungu, huko karibu sana na Mods....!!

Una uhakika gani kuwa kijana wako atapewa BAN...?

Achana nae Mkuu, sometimes a man (real man) can learn through mistakeas..

Muache/Achana nae....anaweza kuwa ana mapungufu na matatizo Kichwani...!!

Usumbufu wake, kama sio Utoto basi ni Ujinga unamsubua....!!

Kizuri kwangu "nime-mnote".

Nafahamu sasa jinsi ya kwenda nae..[emoji111] [emoji111] [emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na ww una amini upuuzi kama huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kama umedangwa upupu na ukauelewa vipi kuhusu jinsia ako???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ivi ww kwanini unaclaim ni ME??

INAKUSAIDIA NINI KUKANA JINSIA AKO??

MIMI NAFAHAMU NA WATU WOTE WANAJUA WW NI KE!!
Curi mdogo wangu nani alikuharibu huko nyuma[emoji23] [emoji23] ndo nn sasa kutafuta marungu kwa lazima!!!

muosha rungu
 
hahaa vwawa ! karibia na tunduma
Ewaaaa! Nlikuwa nakatiza mitaa ile to zambia ilo jina Vwawa nlikuwa nashindwa kultamka mie nlikuwa naweka viwawa badala ya vwawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ewaaaa! Nlikuwa nakatiza mitaa ile to zambia ilo jina Vwawa nlikuwa nashindwa kultamka mie nlikuwa naweka viwawa badala ya vwawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



hahahha nimesomaga huko lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…