Miss you cuzoo ake.
Babu Asprin kaleta picha ya njia ya nyumbani[emoji23] [emoji23]
Kwahiyo umejikuta upo marangu [emoji1][emoji1] halaf baby atakuwa wa huko ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa
Yani nimejikuta niko nyumbani kwa picha lakini mwili uko hukuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo umejikuta upo marangu [emoji1][emoji1] halaf baby atakuwa wa huko ujue
Em rudia tena!!! nani wako eti?sijambo mdogo wngu habari yako
Woiiiii typing error nilimaanisha babu ujue asprinYani nimejikuta niko nyumbani kwa picha lakini mwili uko hukuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baby yupi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nahisi atakuwa wa kunyumba huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Woiiiii typing error nilimaanisha babu ujue asprin
Mzima kabisa LinahShwari
Mzima wewe?
Itakuwa cuzo mara paaaaap ni uncle wako uliyemuacha maranguNahisi atakuwa wa kunyumba huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Humu unaweza mtukana shangazi yako aise,Kabisaaa[emoji28] [emoji28]
Babu Asprin hebu njoo kwanza[emoji23] [emoji23]
Cc Asprin
Habari yako NiyoMzima kabisa Linah
Kweli kabisa hizi mambo za humu zinachanganya ujueHumu unaweza mtukana shangazi yako aise,
Umetumia vipimo gani asee kuniita dogo.!jaman we nawe !unasemaje DOGO
KabisaaaHumu unaweza mtukana shangazi yako aise,
Ndo tuwe na breki,unawza tongoza Dada ako humuKweli kabisa hizi mambo za humu zinachanganya ujue
Njema sana sister.Zakuamuka!Habari yako Niyo
Umetumia vipimo gani asee kuniita dogo.!
Kana utamfanyia interview huyo coconut naomba nifanye booking hata sasa ninahitaji kujua ubogus wake ni wa kiwango cha expert bogus au verified bonusIf God wishes cocochanel will be here on Friday!
muosha rungu
Kweli kabisa lakini ndio hivyo mwisho wa siku ukikuta ni shangazi unamuomba msamaha tu unamwambia si unajua mambo ya I'd fake na avatar tusameheane tuNdo tuwe na breki,unawza tongoza Dada ako humu
Hahahaaaa!! Ule ulikuwa usaili unaokwisha sio kama wa muosha rungu usioisha. No more maswali.Naomba link ya huo uzi nina maswali
Afanya fanye ni msomeee....Itakuwa cuzo mara paaaaap ni uncle wako uliyemuacha marangu