Nina wajukuu wawili unaniita dogo?haaha nina asili ya kunusa mambo
Ngoja akuje awajibuAfanya fanye ni msomeee....
Nina wajukuu wawili unaniita dogo?
Humu unaweza itwa dogo hata na mjukuu wako.Looh
Gold BogusKana utamfanyia interview huyo coconut naomba nifanye booking hata sasa ninahitaji kujua ubogus wake ni wa kiwango cha expert bogus au verified bonus
Sasa Mara gaaaaa...shangazi akukubali Sera za ki I'd fake ukachoma Lita mpka alipo ili akutunuku sijui itakuwaje,nawaza kimoyo moyo tu....Kweli kabisa lakini ndio hivyo mwisho wa siku ukikuta ni shangazi unamuomba msamaha tu unamwambia si unajua mambo ya I'd fake na avatar tusameheane tu
Gold Bogus
Wachaga na makaburi mbele YA nyumbaUtanizuilia kwa wapi wakati hamjaweka geti?
View attachment 587677
Ni kuombana msamaha tu mkuu hakuna namna ingine ujueSasa Mara gaaaaa...shangazi akukubali Sera za ki I'd fake ukachoma Lita mpka alipo ili akutunuku sijui itakuwaje,nawaza kimoyo moyo tu....
Mara paap nimegaili kumchukua mwanao.tumepishana kias na mm basi ! mie naozesha mtoto wa 3 dec
Pengine atakuwa ni internationally recognised bogus(IRB)Gold Bogus
Ndiyo maana mi uwa naogopa ata kuja pm nisije tongoza ma auntKabisaaa
Mara paap nimegaili kumchukua mwanao.
Huyo ndio coconutchanel ten.hahahaa jaman nimecheka ghafla wabaya watu !
PLATINUM ....
Haaaaaa bora usije tu maana huenda mi Dada yako atiii[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndiyo maana mi uwa naogopa ata kuja pm nisije tongoza ma aunt
hahahaha Gold dream.mara paap mtoto wa lisu akaja kuoa kwangu
Bora dada hapo haina shida ila shangazi kabisa tena mnapanga siku ya kugusanisha kojoleoHaaaaaa bora usije tu maana huenda mi Dada yako atiii[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mzima lakini?
Mi mzima mdogo angu shunie. Vp za kwako?Antonio nakuona heshima yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa cuzo mara paaaaap ni uncle wako uliyemuacha marangu
Wewe toka linii ukaogopa pmNdiyo maana mi uwa naogopa ata kuja pm nisije tongoza ma aunt