Huwaga ananiambia nimpm eti anisalimie sasa anaogopaje pm jaman halaf nimekusalimia huko nyumahahaha ashakuibukia nn shunie
Yaani hapo napafamu kabisaaWachaga na makaburi mbele YA nyumba
Woiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na umekuja kweli cuzo wewe sio wa mchezo mchezo ujueOooh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahah nyie mnaotongoza kazi kwenu mjueYaani kwa jinsi tulivyozoea u fake,usikute hata ukimuomba mtu namba za akakupa fake ili kuendeleza u fake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nitahama Jf
Yani navyopenda umbea naanzaje sasa kuchelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Woiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na umekuja kweli cuzo wewe sio wa mchezo mchezo ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaYani navyopenda umbea naanzaje sasa kuchelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...
Alikulia pesa zako ??
Siasa????
Anakuitaji ila humpendi ??
Unamhitaji ila alikotolea nje ???
Yaan nini jambo bays hasa alokufanyia mpaka umchukie namna iyo ?????.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimegundua akiwepo Lee unapwaya sana katika kuchombeza interview, jokes[emoji23] [emoji23]
muosha rungu
Ya kweliii hayooo???[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] utafiti wa wapi huu we muosha masufuria
HiItakuwa wa Peramiho.
Mzima mama?
Basi si watongozaji,ni vile tu sisi tunataka kujuana kiundani kabisaaAhahahah nyie mnaotongoza kazi kwenu mjue
Hi Shem.
Interview inaendeleaa??Hi Shem.
Mzima wewe?
Niko hapa na cuzoo tunapiga story za kunyumba
Una macho!! Hata sikuliona hilo.Wachaga na makaburi mbele YA nyumba
Interview naona imeisha sahivi tunapiga soga tu[emoji28] [emoji28]Interview inaendeleaa??
Ila baadae anatakiwa kwenda clinic
Ndiooo ndo ratiba niliyoachaa homeInterview naona imeisha sahivi tunapiga soga tu[emoji28] [emoji28]
Clinic[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Usimfananishe coco Chanel na hao mifuniko ya vyoo(sky eclat na emmyta)
Clinic ipi shem[emoji15]Ndiooo ndo ratiba niliyoachaa home
Toka nilipogundua kuna wazee wengi humu ndani. Na toka lini mi nikaijua pm shunie?Wewe toka linii ukaogopa pm