Tafadhali sana, mtoto wa watu mbichiiiiiiiiii. Usinizeeshe we mtoto!!!wewe ni AGE GO usijitetee
Sent from my iDevice using Tapatalk
Usiniambie na wewe ni wa njia hiyo, nimepita sana kipande hiyo na nimehongwa ndizi humo za kutoshaaaMiss you cuzoo ake.
Babu Asprin kaleta picha ya njia ya nyumbani[emoji23] [emoji23]
Ahahahaaaaaa mbiti na msukuma wake mambo burudani, hawa watoto ni kutafuta mbeleko nzito la sivyo utakuta kalishateleza saa nyingi kameanguka ChiniHahahaaaa!! Ni mwendo wa viben10 tu, MBITIYAZA nae anapambana na mwanae kule. Nawe pambana na jose wako.
AiseeeKuwolewa kwa lazima sipati picha kama namuona na ile avatar yake
duuuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu muonye banah, yaan work done is equal to zero???
Mie kipusa babu we!!Wewe ni zilipendwa..mbichi utakuwa wewe??[emoji23] [emoji23] [emoji115]
Sent from my iDevice using Tapatalk
For refference.Usiniambie na wewe ni wa njia hiyo, nimepita sana kipande hiyo na nimehongwa ndizi humo za kutoshaaa
Acha uongo ulishindwa changamkia fursa bibie..nilikupigia chapuo lakini ukaghairiYaani isingekuwa Joseverest tangu jana ningekuwa double ila kanirudisha kwenye usingle[emoji57]
Kuna nyumba kairusha yaaani naijua kabisaaNdo tuwe na breki,unawza tongoza Dada ako humu
Vito vilivyo vivuruge hapana kwakweli, bora wazee tu.Ahahahaaaaaa mbiti na msukuma wake mambo burudani, hawa watoto ni kutafuta mbeleko nzito la sivyo utakuta kalishateleza saa nyingi kameanguka Chini
Ohooo babyMie mwenyewe nimegoma kupanda 20, nitashuka mpaka nifike 13 kama kichwa kichafu jirani yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemuona baby namuangalia tuu, Eti kwanini umemuharibia mwenzio alikuwa awolewe ujueBaby huyo espy anataka akuny'ang'anye tonge mdomoni usimsikilize
Sent from my iDevice using Tapatalk
Ile nyumba yenye kaburi mbele naipita kila nikielekea homieKuna nyumba kairusha yaaani naijua kabisaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]For refference.
Tatizo alishangaa mbona kitoto ndio kinapiga chapuo, akahisi something is wrong here, usije ukawa mwanangu unatafuta baba.Acha uongo ulishindwa changamkia fursa bibie..nilikupigia chapuo lakini ukaghairi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Mchumba au Step Dady wa mtoto uliyenaye??[emoji35] [emoji35] [emoji35]Ewaaaaa!! Kwahiyo kama una maswali yoyote subiri nikiweka uzi wangu wa kutafuta mchumba uje uniulize.
Mbona unamuandama Ney wangu aseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Miaka 18,single na haujawahi kuolewa wala kuzaa. Usichana hoyeeeeeee!
Vyote vyote son.Mchumba au Step Dady wa mtoto uliyenaye??[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Unapotosha nini wewe na wakati ni AGE GOAkuu nyie mloamua kuzeeka zeekeni tu, mie sizeeki mtoto wa watu.