Ahahahaaaaaa wabaki wanalalamika kama Joseverest[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unayavuka tu kama huyaoni, unawaacha wakilalamika tu haujibu maswali yao.
Let m=mass(12kg)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu muonye banah, yaan work done is equal to zero???
Hapana sijamuandama, ney ni mdogo wangu.Mbona unamuandama Ney wangu aseeh
Sent from my iDevice using Tapatalk
Okey sawa hamna neno baby wangu[emoji22] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] usinifanyie hivyo Sweetheart mi mtu mzuri
Sent from my iDevice using Tapatalk
Age go miaka 20!!! Itakuwa una matatizo ya macho, muone daktari beth.Unapotosha nini wewe na wakati ni AGE GO
Sent from my iDevice using Tapatalk
Jose anapenda kulalamika jamani, kuna mahali nilimkuta analalamika hadi nikacheka.Ahahahaaaaaa wabaki wanalalamika kama Joseverest
Ujue hakuna interview imeisha bila yeye kulalamika [emoji23][emoji23][emoji23] sijui huwa anatokea wapi jamani
Hapo tunaenda sawa..usimsikilize espyOkey sawa hamna neno baby wangu
kumbe sasa ndio unamwambia mimi ni bad boy?? hujui nimewekeza kwake??Hapana sijamuandama, ney ni mdogo wangu.
DuuuhAhahahaaaaaa wabaki wanalalamika kama Joseverest
Ujue hakuna interview imeisha bila yeye kulalamika [emoji23][emoji23][emoji23] sijui huwa anatokea wapi jamani
Kumbe umekubali, usijiDogoishe lakiniVyote vyote son.
EwaaaaaaaAsanteh mpz kunisaidia, acha siye tuchangamshe genge tuu
hahahahaTatizo alishangaa mbona kitoto ndio kinapiga chapuo, akahisi something is wrong here, usije ukawa mwanangu unatafuta baba.
Woiiii kama zipi hizo tenaTunataka fursa mbalimbali
Nimeamka salama ney na vp za kwako we dada mpenda......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu hata sijiwezi, na ninavyojua kwenda opposite to the point acha tuu niwe msomaji nitadhalilika jamani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hivi humuonagi na maswali yake huwa hayaishi ujueAvatar tu kashabinua mdomo hahahaaaa!!
Mzushi kabisa, nilimpigia chapuo kwa jamaa mwenye mapene yake na ofisi yake jana..eti baada ya kuona jamaa hajibu maswali ndio akaghairiNimemuona baby namuangalia tuu, Eti kwanini umemuharibia mwenzio alikuwa awolewe ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mpz sijiwezi nisije vunja simu yangu bure kwa hasira, siunajua watu walivyo watukutu? Nyie kuna maswali yanakera unapaswa uwe na moyo wa kimalaika ahahahaaaaaa
Haaaa 20 yrs mtoto bado mbichiMie tangu hii wiki ianze ndio kwanzaaaa nina miaka 20, nimegoma kuzeeka. Kujikuta humu mwenye 40 niko peke yangu nini!!!