Ukakumbuka ile migomba mama nNdioo kwenyewe hukooo
Na huko kwa wazee unatafuta nini kama sio pesa[emoji23] [emoji23]Vito vilivyo vivuruge hapana kwakweli, bora wazee tu.
WoyooooooooooooUsiniambie na wewe ni wa njia hiyo, nimepita sana kipande hiyo na nimehongwa ndizi humo za kutoshaaa
Sema akiya Mungu dadaKuna nyumba kairusha yaaani naijua kabisaa
Kumbe ni uwekezaji!! Umesema vyema, nauza mihogo, karanga,pweza nkkumbe sasa ndio unamwambia mimi ni bad boy?? hujui nimewekeza kwake??
Sent from my iDevice using Tapatalk
Kipusa labda wa huku JF, ila nje ya JF wewe ni kikongwe zilipendwaMie kipusa babu we!!
Akuuuu, mie nataka wazee bwana, ndio wanajua kupeti peti. Hivyo vimisingi kiuno visumbufu kweli.ahhahhh hebu na wewe tafuta kiben 10 uone vilivyo na swag
Yaan mie huwa namsoma malalamiko yake nacheka mpaka nashindwa kucomment chochote, sasahivi naona ameingia kwa style ya ulalamishi na maswali ya going concern hayana mwishoJose anapenda kulalamika jamani, kuna mahali nilimkuta analalamika hadi nikacheka.
SawaHapo tunaenda sawa..usimsikilize espy
Sent from my iDevice using Tapatalk
miaka 40+ na umezaa juu unajiita mbichi?? are you serious??Tafadhali sana, mtoto wa watu mbichiiiiiiiiii. Usinizeeshe we mtoto!!!
Sijajidogoisha, huo ndio umri wangu.Kumbe umekubali, usijiDogoishe lakini
Sent from my iDevice using Tapatalk
Amuulize stable woman anafatwa kwenye uzi mwingine twende kule kwakl ukanijibu maswali yako alikoma dada wa watuYaan mie huwa namsoma malalamiko yake nacheka mpaka nashindwa kucomment chochote, sasahivi naona ameingia kwa style ya ulalamishi na maswali ya going concern hayana mwisho
Ili akifa aache mali.[emoji23]Akuuuu, mie nataka wazee bwana, ndio wanajua kupeti peti. Hivyo vimisingi kiuno visumbufu kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hivi humuonagi na maswali yake huwa hayaishi ujue
Shunie uchochezi umeanza lini aseeh[emoji40] [emoji40]Amuulize stable woman anafatwa kwenye uzi mwingine twende kule kwakl ukanijibu maswali yako alikoma dada wa watu
Endelea kudanganya watu tuSijajidogoisha, huo ndio umri wangu.
Tatizo ulikuwa wewe bwana, mtoto anatafuta baba.Mzushi kabisa, nilimpigia chapuo kwa jamaa mwenye mapene yake na ofisi yake jana..eti baada ya kuona jamaa hajibu maswali ndio akaghairi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Mwambie tumepishana kwa miaka 2 tuuHapana sijamuandama, ney ni mdogo wangu.
Aaah kabisa, mbichiiiiiiii.Haaaa 20 yrs mtoto bado mbichi