Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Yaan mie huwa namsoma malalamiko yake nacheka mpaka nashindwa kucomment chochote, sasahivi naona ameingia kwa style ya ulalamishi na maswali ya going concern hayana mwisho
Hahahaaaa!! Umeanza kuniharibia eeh!!Na huko kwa wazee unatafuta nini kama sio pesa[emoji23] [emoji23]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Acha auntie huyo maswali hayaishi kabisa yaan anafanana na avatar yake ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sema huwa sifuatilii sana, humu ndio nimemuona na msururu wa maswali yake kama ahadi za ccm.
Akuuuu, mie nataka wazee bwana, ndio wanajua kupeti peti. Hivyo vimisingi kiuno visumbufu kweli.
Hapana kaka josse jamanShunie uchochezi umeanza lini aseeh[emoji40] [emoji40]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Pweza, karanga na mihogo kwani nimekwambia SIPO FITI??[emoji35]Kumbe ni uwekezaji!! Umesema vyema, nauza mihogo, karanga,pweza nk
Wahi kabla mzigo haujaisha.
Kote kote bwana, mtoto mbichiiiiiiiiKipusa labda wa huku JF, ila nje ya JF wewe ni kikongwe zilipendwa
Sent from my iDevice using Tapatalk
Unalamika kwa sababu maalum...sio bila sababuJose anapenda kulalamika jamani, kuna mahali nilimkuta analalamika hadi nikacheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie tumepishana kwa miaka 2 tuu
18 kwa 20
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amuulize stable woman anafatwa kwenye uzi mwingine twende kule kwakl ukanijibu maswali yako alikoma dada wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23] unabalaah wewe ujue, sasa ni nini tena mbona kufuli la solex jamani, ukirudi uniambie ulifanyajeNimeamka salama ney na vp za kwako we dada mpenda......
. na mchukia........
Haaaa ata kwa kwa chumvi hujawai kuliwaAaah kabisa, mbichiiiiiiii.
OMG miaka 20 utakuwa wewe hapo ongezea 25 mingine ndio useme hivyo labdaAge go miaka 20!!! Itakuwa una matatizo ya macho, muone daktari beth.
Hahahaaaaa!! Hapana bwana, ndio wanajua kupeti peti.Ili akifa aache mali.[emoji23]
Ndio alitambue hilo, Joseverest ukome kunichulia uzee mtoto wa watu.Mwambie tumepishana kwa miaka 2 tuu
18 kwa 20
Masharo walamba lips. Kazi unayo rafikiwazee watam bwana wee hata ukikutana nae hakatz kushika simu yako uchat kidg !khaaa hv vitoto sasa vinakupokonya hd simu fyuuuuu eti tu uko nae! kazi kulamba lips tu na kupiga selfie !
Masharo walamba lips. Kazi unayo rafikiwazee watam bwana wee hata ukikutana nae hakatz kushika simu yako uchat kidg !khaaa hv vitoto sasa vinakupokonya hd simu fyuuuuu eti tu uko nae! kazi kulamba lips tu na kupiga selfie !
Ooh kumbe ni hivyo basi sawa hamna nenoMzushi kabisa, nilimpigia chapuo kwa jamaa mwenye mapene yake na ofisi yake jana..eti baada ya kuona jamaa hajibu maswali ndio akaghairi
Sent from my iDevice using Tapatalk
Antoni [emoji15] [emoji15] [emoji15] veep tena woiii jaman byeee [emoji137] [emoji137] [emoji137]Haaaa 20 yrs mtoto bado mbichi
sio kweli[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hivi humuonagi na maswali yake huwa hayaishi ujue