Skyline tech

skyline tech

Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
39
Reaction score
65
Habari wadau wa jamii forums leo nimejiunga rasmi naomba mnipoke

Nafanya kazi za graphics design, natengeneza computer laptop natengeneza logo, calender, poster za mitandaoni, busines card, card za harusi, n.k
Kwa mawasiliano 0687085290
 
Bro karibu sana. Umejitambulisha vyema kuwa we ni fundi. Samahan kaka, unaweza kunisaidia hili. TV yangu aina ya Singsung ilikuwa sawa tu nikawa nimepata nyingine nikaacha kuitumia kwa takriban miez 2. Nilipoichukua juzi nataka kuitumia inagoma kuwaka. Ilijitahidi tu ikawaka kwa dakika 8 tu then ikazima. Inaweza kuwa na tatizo gani? Msaada plz!!!
Thanks jn Advance.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Fundi wa laptop hawezi kuwa fundi wa TV
 
Sorry system ya Tv haiko sawa na ya laptop zinatofautia kiongozi hapo nasikitika kuwa siwezi kukusaidia kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…