mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Baadhi wanaweza wakawa wameanza kukufahamu ulipokuwa muhariri wa Bongo5, ila umeanza safari yako pale Victoria fm Musoma kabla ya kuhamia RFA Mwanza na baadae ukashift TONE Radio.
Kipindi uko Tone ambayo ilikuwa online radio ulianza kujishughurisha na Uandishi hasa kwenye blogu yenu wewe na Kidbwoy (Sangu G) baadae wote mkaingia Bongo5 na kuifanya the best.
Umekuwa maarufu sana kwa sasa na hii ni kutokana na ubunifu katika kazi unazofanya, Utangazaji ambao kwa sasa uko kando ila unaufanya kwa namna yake, Uandishi wa Vitabu, Kurap, yaani Bro umebarikiwa na juhudi pia zimechangia Degree ya Masscom ya pale SAUT Unaitumia kisawasawa.
Kwa sasa uko Dizzim online umeitamburisha kwenye map na kila mtu sasa anaisoma na kuisikiliza kwa uchache,
My take kaka ni muda wako sasa uisimamishe Leotainment.com(Daily entertainment take away)
ili iweze kuchuana na kina Bongo5.com, Millard ayo.com, Dizzim online, pia ni njia ingine ya wewe kupata kipato ila kuonesha ujuzi zaidi na isibakie kukuza vya wenzako japo vinakupa ujira.
Thanks.