Profesy
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 388
- 13
View attachment 13383View attachment 13383
Wazee angaliene Ni watu gani walikua wana contribute bungeni...
Wazee angaliene Ni watu gani walikua wana contribute bungeni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli wa 7: Slaa, Msindai na Lubeleje wanaongoza kushiriki Bungeni
Ili kubaini utendaji wa jumla wa wabunge, aina tatu za ushiriki wa wabunge Bungeni
zilichanganywa na kukokotolewa ili kuweka alama za utendaji wa pekee. Mjumuisho huo
ulifanyika kwa kujumlisha idadi ya awamu (ushiriki) ambao mbunge aliuliza swali la msingi
au swali za nyongeza au alitoa mchango, ikimaanisha pia kwamba swali la msingi lina
umuhimu sawa na swali la nyongeza na mchango uliotolewa wakati wa mjadala.
Kama mbinu hii ikitumika, Dk. Wilbrod Slaa anapata nafasi ya juu kabisa ya utendaji
Bungeni kuliko wabunge wote akiwa na jumla ya ushiriki wa 268: ameuliza maswali ya
msingi 33, maswali ya nyongeza 106 na michango 129. Wa pili ni Mgana Msindai akifuatiwa
na George Lubeleje (Jedwali 1).
wanasema action speaks louder than words na nimeona kwamba Slaa alikua sio anaongea ongea tu. mmemuona ROSTAM na LOWASSA? Hawana ata aibu kujiita wabunge. SAD SAD SAD :confused2:watanzania mnasubiri wakati kila takwwimu ziko wazi................mnataka wakati gani zaidi wa lkumpata mgombea makini km slaa?.......chukueni hatua sasa.........this is our golden opportunity let us use it effectively......
wanasema action speaks louder than words na nimeona kwamba slaa alikua sio anaongea ongea tu. Mmemuona rostam na lowassa? Hawana ata aibu kujiita wabunge. Sad sad sad :confused2:
watanzania mnasubiri wakati kila takwwimu ziko wazi................mnataka wakati gani zaidi wa lkumpata mgombea makini km slaa?.......chukueni hatua sasa.........this is our golden opportunity let us use it effectively......
RA,EL na Mwinyi huwa wanakuwa bussy na nini bungeni?
Alafu posho wanachukua?
Ukweli wa 8: Mwinyi, Lowassa na Aziz wako mwisho katika ushiriki Bungeni
Wabunge watatu wa kuchaguliwa hawajawahi kuchangia mijadala ya vikao hata mara2009, kama Mbunge kutokana na cheo chake.
moja kwa mujibu wa POLIS. Hawa ni Dk. Hussein Mwinyi, Edward Lowassa na Rostam
Aziz. Kuna mbunge mwingine, Frederick Werema ambaye pia hajawahi kuchangia lakini
hajawekwa kwenye Jedwali namba 2 kwa sababu aliteuliwa hivi karibuni tarehe 27 Oktoba
Cha kwanza wanataka watoe mafisadi ndani ya serikali. Hivi CCM wana agenda yeyote kama hio? ukisha jibu hapo nitakutumia sera za CHadema kwa ujumla.Kuwa na mgombea makini hakumaanishi mafanikio katika utawala. Ni wale maaskari wa miamvuli na infrastructure of governing ndio vinawezesha utawala bora. Pia, kuwa mtunga sheria na kuwa CEO wa nchi ni vitu tofauti. Also, nini sera za Slaa katika kilimo, afya, viwanda, usafiri--and how are they different from CCM. Haya ndio maswali ya msingi babu.
Kuwa na mgombea makini hakumaanishi mafanikio katika utawala. Ni wale maaskari wa miamvuli na infrastructure of governing ndio vinawezesha utawala bora. Pia, kuwa mtunga sheria na kuwa CEO wa nchi ni vitu tofauti. Also, nini sera za Slaa katika kilimo, afya, viwanda, usafiri--and how are they different from CCM. Haya ndio maswali ya msingi babu.
watanzania mnasubiri wakati kila takwwimu ziko wazi................mnataka wakati gani zaidi wa lkumpata mgombea makini km slaa?.......chukueni hatua sasa.........this is our golden opportunity let us use it effectively......
Hivi unataka tuanze kuongea kuhusu Kikwete hapa? Kua mwizi wa mke wa mtu si kitu ambacho kita affect sera zake wala performance. We sema tu unawasiwasi kwamba sasa hivi watu wameamka. Na nilivyo post hii ni for the sake of performance, mtu gani ni mchapakazi. Nina wakika ata JK alikua apigi kazi bunge kama Dr Slaa (real doctor sio wakupewa kwa maneno).Huyu mheshimiwa hivi u Dr.wake ni wa kupora wake za watu, du hii ni kali ya mwaka. yeye si Dr. Makombora si angetungua kitu kipyaa????? sasa akina OBAMA wa USA halahala kuja TZ na ma firstlady wenu atakapoingia hekaluni kwani watatunguliwa kwa staili ya B52.
Hii kitu tunatakiwa tukiitume kwenye magazeti waonyeshe nani ndio anajalia watanzania kwa ujumla.Waht I can Comment is that Slaa ni mchapakazi ukilinganisha na Kikwete. Sasa tukiongea masuala ya binafsi kama ndoa na umalaya hatuna anayeweza kupona; kuanzia kwa JK, kwa makamu, mawaziri wote na wabunge wamepitia hayo. kwa ujumla Jk anaongoza kati ya maraisi waliowahi kuiongoza TZ kwa kuwa mharamia wa small houses incl. wake za watu nje na ndani ya nchi. watu wana data.