Elections 2010 Slaa aelekea Mbeya

Mla ndege ndo wapi, fafanua. Toa maelezo ya kujitosheleza ili hata huku Lindi tuelewe.
 
Yaaah , tunaelekea Mbeya.....................ni life experience, unaweza toka machozi, bado tunawaelimisha wakapige kura, wakati Uhuru na Mtanzania wakikiuka sheria ya uchaguzi kwa kutangaza matokeo , sisi tunawaambia raia wakapige kura.
 
Kama hii ni kweli basi huo ndio mkakati


Waambie na wengine, kama kweli ikitokea wasiibiwe!!!!!!!!

Kuna mpango unaendelea wa namna ya kukinusuru chama cha mafisadi kisianguke vibaya Mkwenye uchaguzi ujuo na mbinu mbali mabali zinafanywa ili kura ziibiwe kwa gharama yoyote ile. Kuna mzee mmoja ndani ya system amenitonya kuwa ballot paper za ziwekea utaalamu kama picha ya kielelezo inavyoonyesha na mpango utakuwa kama ifuatavyo;

1. Mpango huu ni kwa KURA za uraisi tu,

2. Mpango huu utawahusu wagombea wenye nguvu ambapo kura za mgombea D zitahama kwa mgombea A unapokunja au unapo-fold ballot paper yako kwani sehemu ya kupigia kura ya mgombea D ina kikaratasi laini kilichowekewa gundi kali kwa juu ambapo ukipiga kura utaambiwa ukunje karatasi ya kura mara moja na kile kiaratasi kanahama kwa mgombea A,

3. Mpango huu utapandikia kura hizi za kughushi kwa uli mshindi apatikane kwa zaidi ya asilimia 70% bila kushitukiwa kwa weizi wa kuyra wa aina yoyote na mawakala wote kusign kuthibitisha kura zimehesabiwa kihalali

Nini cha kufanya:

Kama mpango huu utatumika kwa basi wapiga kura mnaombwa unapofika kituo cha kura bonyeza kwa dole gumbe kwenye sehemu ya mgombea D ambapo kikaratasi (very transparent with strong glue) kitanasa kidoleni mwako halafu piga kura yako na kunja karatasi bila wasiwasi wowote.

Habari ndio hiyo wizi wa namna hii umeshawahi kutumika sana nchi za kusini mwa amerika....


"The Lord is the strenght of my life; of whom shall I be afraid"





__._,_.___









._,___
 
Tunasikitika sana wana wa Iringa kumkosa Dr. Slaa hata hivyo kura zetu anazo! Tusaidiane tu kudhibiti wizi wa kura. Mungu ibariki Tanzania.
 
mheshimiwa ANARUDUTENA habari yako ni very serious lakini ulipoiweka watu wengi hawataiona. nakushauri uirudie tena kama Breaking News watu wainase mapema na kuelewa cha kufanya
 
Go Slaa go, go, go, go Slaa, go, go, go Slaa, go ................ x 19 mil
 

Kama hii ni kweli, basi viongozi wa VYAMA vyote wafanye juu chini kuhakiki hili LEO na LEO hii, latest KESHO, litangazwe kwenye VYOMBO VYOTE vya habari (redio, TV, magazeti).
 
:A S angry:ACHA KUDANGANYA WATU. KARATASI ZA KUPIGIA KURA MWAKA HUU ALAMA YA VEMA INAWEKWA PEMBENI NA SIO CHINI. :A S angry:
 

acha kusambaza uongo, karatasi za kura safari hii majina ya wagombea yako mkono wa kushoto na yamepangwa totoka juu kuelekea chini na vivyo hivyo na vibox ya kuwekea alama ya ndiyo, jina la jk ni la pili na dr ni la tatu,hata ukikunja vipi vibox haviingiliani, hizi hadithi zako peleka kijiweni.
 

Umejuaje mkuu wakti makaratasi ya kupigia twataraji kuyaona kwa mara ya kwanza October 31 tutakapopiga kula???
 

paranoia!
 
Umejuaje mkuu wakti makaratasi ya kupigia twataraji kuyaona kwa mara ya kwanza October 31 tutakapopiga kula???

NEC walishayatolea maelezo mbele ya waandishi wa habari na kuonyesha mfano wake. Karatasi za kupigia kura mwaka huu zimebadilishwa na vyama vyote vinajua hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…