Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Mimi si mtaalamu wa sheria hata kidogo.Naelewa sharia za kiislamu kwa kiwango fulani.
Kwa kusema hivyo nataka kujuwa itakuwaje iwapo kwa bahati mbaya dkt.Slaa katika uchaguzi wa tarehe 31 oktoba akachaguliwa kuwa raisi mpya wa Tanzania huku ana kesi mahakamani ambayo bado haijahukumiwa kuhusiana na kuzini na mke wa mtu.
Katika sharia hukumu ya dkt Slaa kwa vile ni mzinifu ambaye hajaoa na mwenyewe amekiri kosa hilo, hivyo hakuna haja tena ya kuitwa mashahidi.Hukumu yake ni kupigwa bakora mia moja za nguvu hadharani,mfano kwenye uwanja wa Taifa. Baada hapo iwapo atapona basi ahamishwe nchini kwa muda wa mwaka mmoja
Ama kwa upande wa Josephine Mushumbushi,yeye kwa vile ni mzinifu alilyekwisha kuolewa basi hana nafasi tena ya kuwa first lady wala ya kurudi kwa mume wake wa mwanzo,kwani hukumu yake ni kuchimbiwa shimo na kupigwa mawe bila huruma mpaka afe kabisa.