Elections 2010 Slaa akiwa rais itakuwaje?


Unajua kuna tofauti kati ya Makamba,JK na Slaa.Hao wawili hakujakuwa na mashtaka dhidi yao.Ni wewe tu ndiye unayesema.Lakini huyu bwana mashtaka yake yako kwa hakimu na bado kesi haijaisha.Halafu uchaguzi umekaribia.Nimesema inaweza kutokea bahati mbaya akachaguliwa.Itakuwaje?.
 

Kwani Padri si huwa haoi, au????
 
Kwani Padri si huwa haoi, au????

Huo si utaratibu wa maumbile,ndio maana wengi wao akiwemo Slaa hushindwa na ubinadamu wao.Mungu ametaka waoe mpaka wake wanne mtu anaowapenda.
Kwa maana hiyo hukumu yake ipo pale pale.Akiingia madarakani bila hiyo hukumu hali itakuwa mbaya Tanzania kuliko!.
 
Hapo kwenye red, sio, bali kwa mapenzi ya mwenyezi mungu, bahati njema/nzuri, na kwa lengo la kuwakomboa walio pembezoni humu Tanzania...! Aidha, nahisi siku hizi huko mirembe imewekwa facility ya internet...! Vinginevyo, umetumwa, na bado akili yako pungufu kabisa....! Nakushauri ukaungane na katibu wenu akulee kama sio mzazio...!
 
Mungu wa kweli anasema huwa hawaongozi wenye kudhulumu.Kwa vile dkt.Slaa amedhulumu mtu mke wake na nafsi yake kwa kutokuoa mke mzuri ampendae huku uwezo anao,tusitaraji kwamba akiwa raisi atapata uongozi wa kuwezesha sera zake.kinyume chake ni balaa tupu.Hivyo hilo likitokea itakuwa ni bahati mbaya kwa watanzania.

 
tUTATUMIA MAHAKAMA YA KADHI KUMSHITAKI!
 
wewe mdini sana huna lolote kwanza hutambui hata misingi ya nchi hii.tanzania enaendeshwa na katiba ya nchi wala si sharia.

kwanza unawezaje kulizungumuzia shauri lilopo mahakamani,

acha upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Vizuri sana BWana Ami. Umekiri katika utangulizi kuwa wewe Hujui sheria za nchi bali japo unafahamu sharia za Kiisalamu. Ni mapungufu haya haya yanayosumbua jamii yenu kiasi cha kuacha kufuatilia mambo ya msingi na kuishia kulalamika kuwa mnanaonewa.

Sasa sikiliza hukumu ya BWANA wako, anakuambia asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe.Naamini Kikwete atakuwa wa kwanza kukimbia akifuatiwa na wewe. Ukweli ni huu, Sharia za Kiislamu hazitumiki Tanzania hivyo nenda SHULE ili uwe na mchango kwa Taifa.
 
Ana Hoja ya msingi..lakini jinsi alivyoiwasilisha ndio imewakanganya wengine....Kama swali ingekuwa kwa bahati mbaya Slaa akachaguliwa itakuwaje iwapo alishafunguliwa shtaka mahakani...na kwa bahati mbaya akapatikana na hatia???.
 
Ana Hoja ya msingi..lakini jinsi alivyoiwasilisha ndio imewakanganya wengine....Kama swali ingekuwa kwa bahati mbaya Slaa akachaguliwa itakuwaje iwapo alishafunguliwa shtaka mahakani...na kwa bahati mbaya akapatikana na hatia???.
Hapo umenisaidia.......Naona wengi hawapendi kupigwa fimbo wakajitakasa kwa madhambi yao ili huenda Mungu atawarehemu.Wamevamia hilo tu.
Naomba tueleze sheria inasemaje iwapo alishafunguliwa shtaka mahakani...na kwa bahati mbaya akapatikana na hatia???.
 
[]Mimi si mtaalamu wa sheria hata kidogo.Naelewa sharia za kiislamu kwa kiwango fulani.
Kwa kusema hivyo nataka kujuwa itakuwaje iwapo kwa bahati mbaya dkt.Slaa katika uchaguzi wa tarehe 31 oktoba akachaguliwa kuwa raisi mpya wa Tanzania huku ana kesi mahakamani ambayo bado haijahukumiwa kuhusiana na kuzini na mke wa mtu.
hukumu ya dkt Slaa kwa vile ni mzinifu ambaye hajaoa na mwenyewe amekiri kosa hilo, hivyo hakuna haja tena ya kuitwa mashahidi.Hukumu yake ni kupigwa bakora mia moja za nguvu hadharani,mfano kwenye uwanja wa Taifa. Baada hapo iwapo atapona basi ahamishwe nchini kwa muda wa mwaka mmoja
Ama kwa upande wa Josephine Mushumbushi,yeye kwa vile ni mzinifu alilyekwisha kuolewa basi hana nafasi tena ya kuwa first lady wala ya kurudi kwa mume wake wa mwanzo,kwani hukumu yake ni kuchimbiwa shimo na kupigwa mawe bila huruma mpaka afe kabisa.

KWA VILE HIZO HUKUMU ZAKO HAZITAWEZA KUTEKELEZEKA HAPA NCHINI TANZANIA - ILI KUONYESHA MSIMAMO WAKO WA KUTETEA UTAWALA WA SHARIA - NAKUSHAURI UVAE MABOMU HALAFU UJILIPUE - KWANI MTUME WAKO ATAKUWA ANAKUNGOJEA AKUPE ZAWADI ZA AHERA UNAPOKWENDA - NA HUKO HUTAKAA UMWONE TENA MH. RAIS WETU DR SLAA NA MKEWE JOSEPHINE - HIYO ITAKUONDOLEA CHUKI NA HASIRA ZIDI YAO - HAYA NAKUTAKIA KUJILIPUA KWEMA ..............
 

Ushauri wako nimeuona,lakini bado haijawa lazima kufanya hivyo.Mimi kwanza nauliza tu itakuwaje?.
Pia itakuwaje iwapo mgombea mwenza wa dkt.Slaa akawa ni CCM halafu akaamua kujitoa na kurudi chamani kwake,Sheria inasemaje kuhusu hili?.
 
Kawaulize kwanza kina Mramba, Chenge, etc na kesi zao mahakamani
 
huna jipya wewe dr slaa ni nyerere wa pili kwa ukombozi wa tz ucthubu2 tena kusema hivyo kwani jamii itakulaani
 
Ndio na mimi nikauliza itakuwaje?.Una taarifa yoyote iwapo wamemalizana nje ya korti ''out of court settlement', kwani uchaguzi umewadia.
 
Kwa Sharia za Kiislaam uko sahihi, kama ulivyosema wewe si mwanasheria na hujui sheria za nchi yako ni vizuri kuzielewa sheria la ndoa na zile za civil law kufuata taratibu au kanuni za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi Mkristo naheshimu uamuzi wako wa kuwa Mwislaam na sitaingilia imani yako ya kuabudu. Mungu akubariki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…