Elections 2010 Slaa ameshinda kwa 48%, JK 26%, Lipumba 15% On level field (2010)


Acha kutukana kabila zima kwa sababu ya chuki ya mtu mmoja ambaye ni rais wako.
 
kumbe wengi walikimbia hesabu humu ndani, hizi ni hesabu za form one, kwa nini wengi hawaelewi? Hizi hesabu zinaweza kuwa na ukweli kwani wengi wa waliosusia uchaguzi wamechoshwa na utendaji wa JK na wakaona waibiwa kura zao kwa kuwa ndio mchezo wa ccm, wakaamua kutopiga kura, lakini wangepiga wangechagua wapinzani wenye ushindani ambao ni slaa au lipumba, tena hesabu hizi zimempendelea Lipumba kwa kuwa alipata kura nyingi Zanzibar ambapo wengi walijitokeza kupiga kura kuliko bara ambako wengi wamemchagua Dr Wa Ukweli, nadhani angeshinda kwa >50%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…