Pia Tanzania ni kubwa sana,ni ngumu mno kufika kila sehemu.Pia siku bado hazijaisha pia.Ila pia Mererani msiwe na hofu,kura endeleeni kumpa Dr Slaa,ahadi alizotoa za elimu bure,vifaa vya ujenzi kushuka,katiba kubadilishawa ni vya nchi nzima.Uzuri wa Slaa ameleka ahadi za kunufaisha nchi nzima na sio sehemu ndogo ya nchi.Please kama hamna Rais aliyefika huko basi wampe Slaa.CCM pamoja na utajiri walionao hawajaweza kufika,sasa je itakua CHADEMA?