MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori, kammaliza kabisa Fisadi Sita na J.K wake. Ameondoka kwenda Tabora baada ya Hotuba. Peoples....!