MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 886
Mgombea urais wa Chadema dr Wilbroad Slaa amepokewa na umati mkubwa sana wa wananchi wa Urambo leo hii, kampeni imekwenda vizuri sana, watu wamehamasika sana, hakuna aliyebebwa kwenye malori, kammaliza kabisa Fisadi Sita na J.K wake. Ameondoka kwenda Tabora baada ya Hotuba. Peoples....!
Ningependa afanye mdahalo na Mh. Sitta nadhani ingekuwa vizuri sana...
Ila nadhani hadi sasa CCM washajua nini kitatokea.. wajipange tu 2015 kama watakuwa hawajafa..
tusiwakatishe tamaa waleta habari si kila mtanzania ana kamera au anawuzo wakupiga picha ingawa inapendea taarifa kama hii ikiwa na picha....Habari kama hii ikiwa haina picha naona kama majungu
Habari kama hii ikiwa haina picha naona kama majungu
tusiwakatishe tamaa waleta habari si kila mtanzania ana kamera au anawuzo wakupiga picha ingawa inapendea taarifa kama hii ikiwa na picha....
Ningependa afanye mdahalo na Mh. Sitta nadhani ingekuwa vizuri sana...
Ila nadhani hadi sasa CCM washajua nini kitatokea.. wajipange tu 2015 kama watakuwa hawajafa..
Je, huko urambo nani amesimama kama mgombea wa Chadema? Mkoa wa kagera mbona sijasikia kama kafika Karagwe, Ngara na Biharamulo??
Peoples power... hongera!!