Zile takwimu kwamba Shukuru Kawambwa (Binamu yake Kikwete?) alitoa taarifa kwamba amajenga matundu ya vyoo (vina Milango?) manne kwenye shule kwa shilingi milioni mia saba (700,000,000/=) imenifanya nichanganyikiwe! Hivi hawa kina Kikwete wana akili kweli??