Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Wakuu,
Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.
Aidha, baadae atakuwa LIVE katika televisheni ya Agape kuanzia saa 1 jioni.
Mkutano wake leo umejaza watu wengi sana huko Zanzibar tofauti na wengi mnavyoweza kudhani, nitawaletea picha za Zanzibar hali ilivyokuwa.
bila picha zanzibar siwezi kuamini kama kweli alipata watu kule ni ngome ya CUF na CCM. Tupe picha tuaminiWakuu,
Napenda kuwafahamisha kuwa kesho Dr. Slaa atakuwa viwanja vya Mwembeyanga jijini Dar es Salaam ambapo atakuwa LIVE ndani ya TBC1 pia kuanzia saa 10 jioni kwa muda wa masaa 3.
Aidha, baadae atakuwa LIVE katika televisheni ya Agape kuanzia saa 1 jioni.
Mkutano wake leo umejaza watu wengi sana huko Zanzibar tofauti na wengi mnavyoweza kudhani, nitawaletea picha za Zanzibar hali ilivyokuwa.
bila picha zanzibar siwezi kuamini kama kweli alipata watu kule ni ngome ya CUF na CCM. Tupe picha tuamini
Mambo ya Zenjibila picha zanzibar siwezi kuamini kama kweli alipata watu kule ni ngome ya CUF na CCM. Tupe picha tuamini
kwa vyovyote itakavyokuwa hapo 31october Dokta Slaa amekwisha shinda miyoyoni mwa watanzania.
kwani tunajua kuwa watawala hapao tayari kuachia madaraka. Kuachia madaraka kwao ni maafa makubwa kwani wengi wao wana madhambi makubwa.
Mbona picha yenyewe imepigwa kwa engo moja hili kuonsha watu walio kuwa mbele ya jukwaa tu? Ebu leta zingine...
Mbona picha yenyewe imepigwa kwa engo moja hili kuonsha watu walio kuwa mbele ya jukwaa tu? Ebu leta zingine...
Unataka zingine za nini hizo zinatosha unafikiri kuhutubia nchi jirani ni mchezo.Mbona picha yenyewe imepigwa kwa engo moja hili kuonsha watu walio kuwa mbele ya jukwaa tu? Ebu leta zingine...