Elections 2010 Slaa aunguruma Mwembeyanga, LIVE TBC1

okay, leteni update wakuuu kutoka sehemu ya tukio au TBC1 kokote tutashukuru wakuu.
 
Watu wamejaa sana na Mabere anaongea. Watu wamejaa kweli. TBC1 hawajaanza fujo bado
 
Mkombozi Dr Slaa ndo anatinga kwenye mkutano -- shangwe, vifijo vyatawala.
 
lazima tbc wakate matangazo wale wehu sana.
 
Tafadharini tuleteeni habari na picha kwa sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani mi naanza safari nimalizie km zilizobaki.

mkutanano mwema na wote mkapige kura. from iringa to Mwanza just for one thing nacho ni kupiga kura kwa ajili ya slaa sina jingine huku
 
Jamani tangazieni watu watazame tbc1 nondo zinadondoshwa za ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…