tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Tuko pamoja.atuambie nn matokeo ya kutokushirk uchaguzi?
Sahihi kabisaMatokeo mbona yanaeleweka, huwezi kuhesabika kuwa sehemu ya uovu na ushetani unaoendelea.
Obviously chama kitakosa ruzuku na uwakilishi bungeni na wananchi wengi watakosa uwakilishi wa chama chao pendwa. Uendeshaji wa chama utakuwa mgumu sana kiasi kwamba baadi ya wafanyakazi itabidi wapumzishwe.Tuko pamoja.atuambie nn matokeo ya kutokushirk uchaguzi?
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine.
Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali la chama hicho leo Septemba 2, Dkt. Slaa amesema ipo haja ya Chama cha Demokrasia kutekeleza katiba yake ili kuhakikisha kuwa mamlaka yanabaki mikononi mwa wananchi.
“Chama makini hakiendi kwa maslahi yake na wanachadema wamejitoa sadaka. Inabidi tuwabebe Watanzania ili watupe hayo mamlaka”.
Dkt. Slaa amesema kuwa waratibu wote wa chama hicho wana wajibu wa kuushirikisha umma kama mtu mmoja mmoja ama vikundi kama CHADEMA family akisema kuwa kwa sasa chama hicho hakitekelezi matakwa ya katiba yake.
“Nchi hii itabaki mikononi mwa CCM tusipokuwa makini na kutekeleza haya maono ya katiba yetu kwa sababu tunaenda kwa spidi ya konokono. Wakati tunazunguka kwenye no reforms no election nilikuwa naangalia hivi vikundi vipo vichache sana. Lengo letu ni kupeleka mamlaka kwa wananchi tofauti na CCM, mwenyekiti tutamheshimu”.
Ameongeza kuwa msimamo wa no reforms no election ni mtakatifu na unampendeza Mungu akisisitiza kuwa unalenga kuwanufaisha Watanzania “Ajenda ya no reform no election ilianzishwa na CHADEMA ila imekuwa ya watu wote wenye vyama na wasio na vyama pia.”
Uyu mzee baada ya tukio la 2015 na Mzee mbowe kumuona hataki kabisa unategemea kwasasa atasemaje!!!Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine.
Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali la chama hicho leo Septemba 2, Dkt. Slaa amesema ipo haja ya Chama cha Demokrasia kutekeleza katiba yake ili kuhakikisha kuwa mamlaka yanabaki mikononi mwa wananchi.
“Chama makini hakiendi kwa maslahi yake na wanachadema wamejitoa sadaka. Inabidi tuwabebe Watanzania ili watupe hayo mamlaka”.
Dkt. Slaa amesema kuwa waratibu wote wa chama hicho wana wajibu wa kuushirikisha umma kama mtu mmoja mmoja ama vikundi kama CHADEMA family akisema kuwa kwa sasa chama hicho hakitekelezi matakwa ya katiba yake.
“Nchi hii itabaki mikononi mwa CCM tusipokuwa makini na kutekeleza haya maono ya katiba yetu kwa sababu tunaenda kwa spidi ya konokono. Wakati tunazunguka kwenye no reforms no election nilikuwa naangalia hivi vikundi vipo vichache sana. Lengo letu ni kupeleka mamlaka kwa wananchi tofauti na CCM, mwenyekiti tutamheshimu”.
Ameongeza kuwa msimamo wa no reforms no election ni mtakatifu na unampendeza Mungu akisisitiza kuwa unalenga kuwanufaisha Watanzania “Ajenda ya no reform no election ilianzishwa na CHADEMA ila imekuwa ya watu wote wenye vyama na wasio na vyama pia.”
Dude, are you for really?Tuko pamoja.atuambie nn matokeo ya kutokushirk uchaguzi?