GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Sikubaliani na point hii!Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.

Sikubaliani na point hii!
Kama kutakuwa na ongezeko la ajira, basi kutakuwa pia na ongezeko la uzalishaji, and, as an altimatum the situation will off-set itself, na hakutakuwa na mfumiko wa bei.
Lakini, labda ueleze vizuri katika suala lako, hizo ajira zimepanda lini, na kwenye maeneo gani?....labda ukijibu hapo ndio tutaenda vizuri, na si kujadili from a virtual point of view!
Pandikizi la CCM lilohitimu secondary za kata
nilikuwa napita tu...
sorry for disturbance
Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
i didnt know ur so dumb and empty... unapoandika chochote humu uwe unajua sio wasomaji wote ni weupe kichwani kama wewe
Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
Huyo mchumi aliyesema hivyo ni zao la sekondari zenu za kata. Ajira ikiongezeka si uzalishaji pia unaongezeka? Na hizo ajira kama zimeongezeka bila kuwepo kipato cha kutosha kuwalipa basi ni ajira zisizo na tija kama zile za serikali za kuajiri kwa kujuana hata kama mwajiriwa hana kazi ya kufanya. Kwa hiyo wage bill inakuwa kubwa kuliko productivity, which is a big problem in our ccm government
Kwa nini alisemee Slaa na si mwenye dola mwenyewe? Anyway labda wewe unajua zaidi sababu,vinginevyo ni vile vile tu kwamba Slaa anawanyima watu wengi sana usingizi.
nimewatoa hapa na kuwapeleka pale (by JK mdahalo)
Samahani mkulu, inaonekana hii elimu ya uchumi waliyopata hao watu ni ya kukariri zaidi kuliko kuelewa, pia ninamashaka sana na kiwango chako cha elimu, asante mkulu.Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.