Dr. Wilbroad Slaa leo amehutubuia mkutano mkubwa Wilayani Mpanda! Katika Mtukano huo ambapo pia Ulihutubiwa na Mabere Marando, Lwakatare, Mbowe pamoja na Mbunge aliye katika Likizo fupi wa Mpanda Mh Arfi Dr. Slaa amewataka Watanzania wote Kuunganisha Nguvu zao ili waweze Kuchagua Mabadiliko, amewaambia Wafanyakazi kwamba yeye hakatai hata kura moja kinyume na Mpinzani wake Mku kutoka CCM Jakaya Kikwete ambaye alisema kwamba Haihitji kura za Wafanyakazi.
Tutawaletea picha za Mkutano
Jioni hii watakuwa Kigoma kwa Mkutano Mwingine