Elections 2010 Slaa kuzuiwa kugombea urais?


Ndugu Kilembwe,

Nakubaliana nawe kabisa. CCM waache woga, tulieni tu. Hiyo ni mikutano ya kawaida ya CHADEMA, mbona wakati wa operation Sangara hawakusema kuwa Chadema wameanza kampeni. Ngoja achukue fomu ndipo muanze kusema. HIZO NI RASHA RASHA TU, MVUA YENYEWE YAJA
 
Wakuu kuna kitu hamjakigundua lakini ukweli ni kuwa MS anawapiga bao sana wana JF wengi. Anachofanya ni kudivert attention ya mjadala na kuwaondoa kabisa kwenye mada, kwa hilo amefanikiwa sana na hii ni kwa sababu wengi mnakubali kuacha mada na kuingia kwenye kumi na nane zake.
Nawashauri wana JF kama mnajadili mada halafu akaingia kati just ignore him na endeleeni na mada, mkimfanyia hivyo mara kadhaa ataacha. But as for now strategy yake ina mafanikio makubwa sana!!
 
Mzitto amekosea tu padogo, hajadanganya!

So hapa Werema atasemaje?? JK alikuwa hapigi Kampeni...Mwambieni aache ujinga bana[/QUOTE]
 
You are very clever mr Chesty unfortunately it is very few people who knows that, MS is very smart guy he is playing people's minds and if you are not care enough you can't understand him. Myself i know what MS is trying to achieve, that is why sometimes i went off topic and act onto him accordingly.
 
Gimme a break, kwani JK alipokuwa anazungumzia the so called "mafanikio ya serikali ya awamu ya nne" ilikuwa ni kwa ajaili ya nini? I do not see how that relates na kuomba wadhamini................
 
Cha Msingi ni kuhamasisha wale waliomdhamini wapige kura, na wao wawashawishi wengine wapige kura
 

Huu si uhuni huu wa CCM na Vibaraka wake
 
KWININI can you humbly try to stop the words you call other members of the forum? be a man(AM SORRY IF YOU ARE "SHE")and remember kuna kizazi kisichohitaji maneno makali yenye kushindwa kutamkwa mtu akaribiapo ibada......! BACK TO THE POINT.....KISEMWACHO CHAWEZA TOKEA......NA IKAWA NI PIGO KWA WATU WALIOWEKA TUMAINI KWA MTU MMOJA......!
 
Cha Msingi ni kuhamasisha wale waliomdhamini wapige kura, na wao wawashawishi wengine wapige kura

Sio wapige kura tu bali washawishiwe kwanini wampigie kura Dr. Slaa.

Watafaidika vipi maishani mwao kwa kuiondoa CCM na kuiweka Chadema madarakani?

Kwa sababu si wote waliomdhamini watampigia kura Dr. Slaa, watanzania ni wakarimu sana na uwa hawakatai kumdhamini mtu wakiombwa lakini kwenye kupiga kura ndipo wanaposema na mioyo yao.
 
Acha kulialia weka hapa hayo maneno kila mtu ayaone, kama kuambiwa ukweli ni maneno mabaya nitaendelea kusema. Nyie watu wa kijani bado mna kasumba ya chama kimoja mkiambiwa ukweli yanakuwa maneno mabaya kwenu. Juzi Chadema wamefanya mkutano pale jangwani mmesema wameanza kampeni wakati nyie mlifanyia palepale.
 


it 'll be blood,I guees !

And to refresh your mind and Warema's freacking mind :kikwete did the same ,so do Slaa that means whatever action planned for Slaa they have to think to do the same to mkwere.
Ila ukiniuliza kuna yeyote amekosea nitasema hapana kwa kuwa mtu lazima utoe ushawishi wa kupata wadhamini inturn inaonekana kama kampeni .Jamaa wanavyolialia ndio wanampa umaarufuzaidi.
 
zito wa chadema, kashakuwa mpinzani wa slaa. duh bora zito atimke tu

unashindwa kuelewa nini hapa ,hakuna kitu kama zitto mpinzani wa slaa,unapindisha maneno kwa nguvu au ni umbumbumbu wako wa kuelewa wengine wanaweza kukuita juha.Kwa wanao fagilia majuha wameshakuita celebrete wa JF
 
Ili mradi tume ikiamua ku-audit mambo ya vyama vyote fairly mimi sitakuwa na tatizo nao. Je, mabango ya CCM ya kumnadi kikwete kuchaguliwa 2010 ambayo yametapakaa Dodoma nzima nayo si kampeni kabla ya wakati? Tume iwe firm but fair tuone nani atasimama!!!!
 
Ukipita kuomba watu wakudhamini ni lazima uwape sababu za kukudhamini. Uwaambie ni nini utafanya ili wakubali kukudhamini. Kama hiyo ni kukampeni, basi ni kukampenia kudhaminiwa. Ni lazima mwananchi aambiwe ni kwa nini akudhamini wewe na sio yule.

CCM wanajua hawataweza kumshinda Dr. Slaa kwa hoja. Wana hoja gani ya kuleta maendeleo? Hawana! Wamekuwepo madarakani miak 50 bila kuweza. Miaka 5 zaidi itasaidaje? Tegemeo lao ni kutumia mbinu za kifisadi kama hizi za kumtumia Mwanasheria Mkuu kusema CHADEMA imevunja sheria. They will try to stop Dr Slaa, AT ANY COST!

Kilichobaki ni wananchi kujiuliza: Tutatawaliwa kwa nguvu na CCM mpaka lini? Kama alivyosema mmoja hapa, uvumilivu una mipaka yake.

Nimefurahi kuona CHADEMA ikiahidi kwamba chini ya uongozi wao, tutaweza kujadili katiba mpya mapema sana. Katiba itakayowafanya watu kama AG kuwa watu huru na sio vibaraka wa chama tawala. CCM wanakataa majadiliano ya katiba mpya kwa madai kwamba hakuna jipya kubwa lililotokea. Katiba yetu ni ya 1999. Iliundwa chini ya chama kimoja. Mfumo wa vyama vingi sio badiliko tosha la kuweza kujadili katiba?

Watanzania wanaona jinsi majirani zao wa Kenya walivyojiamulia wenyewe katiba yao. Lazima CCM ijue haiwezi kuendelea kutumia katiba mbovu kukandamiza wananchi milele.

Kaza buti Kamanda wetu Slaa. Hawa CCM wameanza kutapatapa.
 

Hivi huyo mwanasheria Mkuu hajaziona picha na mabango ya JK mitaani? au zile T-shirts Kikwete 2010??
 
Wakuu I have an Idea, kama kuna mtu ana emails za hawa watu CJ, Tendwa, Kiravu tuwatumie picha na videos za ushahidi kuhusu muungwana kuanza kampeni mapema!!!!!!!!!!
 
kama sikosei shehe yahaya alitabiri uchaguzi mkuu kuvurugika
 
Wakuu I have an Idea, kama kuna mtu ana emails za hawa watu CJ, Tendwa, Kiravu tuwatumie picha na videos za ushahidi kuhusu muungwana kuanza kampeni mapema!!!!!!!!!!
Good idea naongeza kama kuna mtu ana picha ya mabango ya CCM kule Dodoma yanayosema CHAGUA KIKWETE CHAGUA CCM atuletee humu tusaidiane kufikisha ujumbe, au kama kuna mtu huko Dodoma ayapige picha atuletee pls, ikiwezekana tuyaweke kwenye post ya kwanza ya thread hii na jua wapo watakaopeleka ujumbe, Kikwete kasema hii ni vita sawa na vita vingine na sisi ni vijana tunaowezesha mapigano upande wa pili.
 
AG Werema hawezi "kumpenda" Dr Slaa hata kidogo. Mnakumbuka AG alivyochomeka baadhi ya vifungu kwenye sheria mpya ya uchaguzi na Rais wetu akaisaini kisha Dr Slaa akamuumbua? Kwa nchi za wenzetu hili lilitosha kumfanya AG ajiuzuru au asaidiwe kujiuzuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…