Elections 2010 Slaa kuzuiwa kugombea urais?

nafikiri wote waliozungumzia hili sakata ni kati ya wale wanaofikiri watanzania wako usingizini. Ukimzuia Dr slaa hata na JK hawezi kuwa kabisa na sifa. Ni bora kufunga midomo tu. JK ameisha chukua fomu na nasikia baadhi ya maeneo tayari kuna mabaango ya chagua chamaa na yeye. Kuna kampeni zaidi ya hiyo. TUachane na hizi hoja
 
Utapataje wadhamini bila kuwaambia utakalowafanyia?......huyo aliyeweka huo mfumo ndie aliekosea
 
Ukiwa ndani ya nyumba ya kioo usianze kuwatupia mawe walio nje. CCM na vikaragosi vyenu jaribuni kuweka pingamizi muone itakavyo kula kwenu.
 

kwa mgombea mtarajiwa aliyeanza kampeni kama huyu, inabidi awajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Ccm hoyeee
 
kwa mgombea mtarajiwa aliyeanza kampeni kama huyu, inabidi awajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Ccm hoyeee

Wa-Tanzania tupendane, tushirikiane, tuijenge nchi yetu.
"Mungu katika Jina la Yesu akusamehe Maovu yako yote, na Kukuponya Magonjwa yako yote
(Zaburi 103:3)"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…