Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti hiyo mara ya mwisho ilihaririwa tarehe 26.03/2010.
Nikajiuliza ina maana kupendekezwa kwa Dk. Slaa kuwa mgombea wa CHADEMA siyo Issue??
Nikajiuliza ina maana kupendekezwa kwa Dk. Slaa kuwa mgombea wa CHADEMA siyo Issue??