...Tovuti hiyo mara ya mwisho ilihaririwa tarehe 26.03/2010.
Nikajiuliza ina maana kupendekezwa kwa Dk. Slaa kuwa mgombea wa CHADEMA siyo Issue??
sawa na kidori
Mambo ya kutungiana uongo hayasaidii katka kujenga hoja au kuzijibu.siyo kwamba kila anayeuliza mambo ya msingi kuhusu CHADEMA ni mwana CCM. Mimi ni mwanachama hai tena wa kupitia mtandaoni aina ya teknolojia iliyotumiwa na chama kupata wanachama wapya.jibu unalo!
- bado wavuti husika haijahaririwa.
- muda wa kampeni bado.
- chadema ni tofauti na ninyi ccm ambao ni mabingwa wa kutunga na kuvunja sheria za uchaguzi.
Mambo ya kutungiana uongo hayasaidii katka kujenga hoja au kuzijibu.siyo kwamba kila anayeuliza mambo ya msingi kuhusu CHADEMA ni mwana CCM. Mimi ni mwanachama hai tena wa kupitia mtandaoni aina ya teknolojia iliyotumiwa na chama kupata wanachama wapya.
Hivi hata kuandika kwenye Website ya chama kwamba kamati kuu ya CHADEMA imempendekeza Slaa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ni mpaka wakati wa kampeni ufike??

Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti hiyo mara ya mwisho ilihaririwa tarehe 26.03/2010.