1. Andaa vielelezo vyote vya wizi wa kura uvisambaze kwenye Ofisi za kibalozi na jumuia za kitaifa na kimataifa.
2. Uwe makini na sheria za kifisadi za TZ za kumuweka mtu kizuizini kwa machafuko.
3. Usigombee Uspika kwani si saizi yako(wewe ni Rais).
4. Epuka wapinzani wanaotumiwa na CCM.
5. Andaa operesheni nyangumi ili kujenga Chadema.
6. Tupe msimamo wako ili tuwe sawa kwani tuko njia panda.
7.........................
Hiyo namba 6 hapo juu ndilo jambo la maana kwa sasa. Haipaswi hata siku moja kukaa kimya, Dr Slaa ulisema kabla ya mshindi kutangazwa kuwa hutayakubali matokeo, baada ya matokeo tumesikia kampeni kali ikikutaka uyakubali matokeo. Sasa tunataka tamko la chama. SISI WENGINE TUMESHA YAKATAA MATOKEO NA TUMEMKATAA KIKWETE. SASA TUNATAKA MWONGOZO NI NINI CHA KUFANYA.
Kama ulikuwepo.Slaa ni Rais wa mioyoni mwetu hadi 2015.Hiyo namba 6 hapo juu ndilo jambo la maana kwa sasa. Haipaswi hata siku moja kukaa kimya, Dr Slaa ulisema kabla ya mshindi kutangazwa kuwa hutayakubali matokeo, baada ya matokeo tumesikia kampeni kali ikikutaka uyakubali matokeo. Sasa tunataka tamko la chama. SISI WENGINE TUMESHA YAKATAA MATOKEO NA TUMEMKATAA KIKWETE. SASA TUNATAKA MWONGOZO NI NINI CHA KUFANYA.
mahakama zote ni za CONTINUOUS CORRUPTION MOVEMENT (C C M)
mahakama zote ni za CONTINUOUS CORRUPTION MOVEMENT (C C M)