S Selungo JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,271 Reaction score 403 Aug 26, 2013 #21 ifweero said: unasifia ujinga,mtu anapora wake za watu, hupati posho yako leo. Click to expand... Mkuu! Jadili hoja iliyopo jamvini!! Kwa hiyo haya aliyo ainisha kutoka kwenye Rasimu ya Katiba kwako unaona si ya msingi, eti?
ifweero said: unasifia ujinga,mtu anapora wake za watu, hupati posho yako leo. Click to expand... Mkuu! Jadili hoja iliyopo jamvini!! Kwa hiyo haya aliyo ainisha kutoka kwenye Rasimu ya Katiba kwako unaona si ya msingi, eti?
bushman JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 2,412 Reaction score 747 Aug 26, 2013 #22 Watoto wa lumumba hawa wanabeba unga na kuutumia haya ndio madhara yake,chama cha wauza sembe/unga.